mgomo wa madktari mpka lini

vstephen

Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
11
Reaction score
3
mgomo wa madktari serekali inatakiwa iwasikilize madaktari ili kuoka maisha ya wagonjwa
 
Unategemea serikali gani itakayowasikiliza madakatari wakati imedai bungeni kwamba hali nzuri na hakuna mgomo?
 
nchi hii hakuna haki mpaka uandamane au ugome au utoe rushwa.kikifanyika kimojawapo watamaliza mgomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…