singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
MGOMO RASMI WA MADEREVA NCHI NZIMA
Chama cha Umoja wa Madereva Tanzania chasema mgomo rasmi wa Madereva nchi nzima utaanza Ijumaa endapo Serikali na Taasisi zake hazitashughulikia malalamiko yao, wakati huo huo Jeshi la Polisi Kikosi cha usalama barabarani kimesema kitendo cha madereva wa mabasi na malori nchini kuitisha mgomo si cha kiungwana.
Chanzo:EA Radio
Chama cha kutetea haki za abiria chaunga mkono mgomo wa Madereva.
Leo asubuhi wakati natokea kiteto mkoani manyara konda na dereva wake walikuwa wanazungumzia kuwa wiki ijayo kutakuwa na mgomo kwa madereva wa mabasi na abiri nchi nzima wenye taarifa watujuze
Nchi hii ambao hawajagoma ni wakulima na wafugaji tu
Kidumu chama cha mapinduzi
Hii sijui kama itapita.Wanadai mikataba ya ajira kwa waajiri wao wanasema zaidi ya asilimia 80 ya madereva wote nchuni hawana mikataba.
Pia wanataka kutembea zaidi ya kilometa 100 kwa saa badala ya kilometa 80 kwa saa za sasa