Mgomo wa madaktari vs Msiba wa actor!

Mgomo wa madaktari vs Msiba wa actor!

Thinker96

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
349
Reaction score
139
Huyu si mwingine ni yule yule mkali wa safari ambaye bado safari 96 amfunike vasco da gama kwa kuwa ndiye anayeshikilia record ya kusafiri safari nying duniani kuliko kiumbe yeyote yule je atazikamilisha kwa muda mchache uliobakia?..niachane na hilo mkali wetu kaamua kwa busara zake kuahirisha safari zake kutokana na mazishi ya actor kama kawa kino ndo atakuwepo baba rizmoko ambaye ndo huyuhuyu aliyekwea pipa na kwenda uko kipindi kile cha mgomo wa matabibu wanafaamika kama madaktari na ni yuleyule aliyekwea pipa na kuacha ndugu zetu wa gongo la mboto wazikane leo nimeamini kwel ****** anapenda kukaa mahala ambapo mazuri tu ndo anahisi yatazungumziwa ongeza na kumbukumbu zingine ulizonazo juu ya huyu mutu ya musoga...
 
Back
Top Bottom