S shykwanza Senior Member Nov 28, 2011 156 30 Feb 10, 2012 #1 Mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuaminishwa kuwa Mgomo wa Madaktari umesababishwa na Lowasa na sio Serikali ya JK na Pinda.
Mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuaminishwa kuwa Mgomo wa Madaktari umesababishwa na Lowasa na sio Serikali ya JK na Pinda.
Mwanajamii JF-Expert Member Mar 5, 2008 7,063 68 Feb 10, 2012 #3 shykwanza said: Mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuaminishwa kuwa Mgomo wa Madaktari umesababishwa na Lowasa na sio Serikali ya JK na Pinda. Click to expand... mgomo upi tena? au hauna taarifa kwamba mgomo umekwisha? au ndiyo unampigia debe huyo fisadi? Serikali na madaktari wamefikia muafaka na ni vema sana. Kuendelea kujadili ni kunesha kwamba tulikuwa tunashabikia kuona wagonjwa wanateseka.
shykwanza said: Mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuaminishwa kuwa Mgomo wa Madaktari umesababishwa na Lowasa na sio Serikali ya JK na Pinda. Click to expand... mgomo upi tena? au hauna taarifa kwamba mgomo umekwisha? au ndiyo unampigia debe huyo fisadi? Serikali na madaktari wamefikia muafaka na ni vema sana. Kuendelea kujadili ni kunesha kwamba tulikuwa tunashabikia kuona wagonjwa wanateseka.
cartura JF-Expert Member Aug 13, 2009 3,026 788 Feb 10, 2012 #4 sijaona connection hapo ... mtu ambaye si sehemu ya utendaji wa serikali anaingiaje kwenye huo mgomo?
sijaona connection hapo ... mtu ambaye si sehemu ya utendaji wa serikali anaingiaje kwenye huo mgomo?