Wanabodi,
8. Kitendo cha mtumishi wa serikali, kukataa kutekeleza amri halali ya mkuu wake wa kazi, hiyo ni insubordination na adhabu yake ni summary dismissal!. Hivyo pamoja na genuinity yote ya madai ya madaktari, jee mgomo wao ni halali?, unafuata sheria za migomo kwa mujibu wa sheria zetu za kazi na maadili ya kidakitari?!.
Wasalaam
Pasco (wa jf)
Kuna rafiki yangu amechange status, sasa hivi nina uhakika hajui hata sindano inashikwaje, yeye upumbavu huu alishaubaini miaka 4 iliyopita akaamuwa kujiunga na kampuni moja ya kigeni na anapiga pesa ndefu na mambo yake yapo super sana kama sio diesel.hii serikali ya kidhalimu nakuambieni....Docs wastaafu wanaikubali huo mkwanja? aisee 5 solid years miksa sups kibao alafu unakuja kufanywa hamnazo inauma sana....
Pasco!
Jambo usilolijua ni usiku wa kiza. Kanunue employment Act 2004 uisome na baada ya hapo anzisha thread upya.
Nenda na wakati. Anyway kuwafukuza kazi sio suluhisho ila ni sawa tu na mpumbavu anapoamua kwenda kulewa pombe ili apunguze mawazo na akiamka ngoma iko pale pale. Narudia WATANZANIA hawako serious. Kwa watu makini na if we had any opposition then nauona mgomo wa Madaktari ungekuwa ni chachu ya Mapinduzi ya umma. Kila mtu angegoma kufanya kazi kwani kwa kuwa matabibu wamegoma ukiumia una uhakika wa kufa kwani kuna mgomo. But nimefurahishwa na wale Doctors wa KCMC wao wameweka a functional strategy kwamba huduma za dharura zitaendelea kutolewa ila out patients hawatahudumiwa. That is professional ila hizi fujo za hao wa Dar sijui ni kinyume na kiapo chao. Let us do something tools down mpaka viwanja vya ndege tugome wote. Huyu Dr. Mponda ni mwongo na asulubiwe au apigwe mawe mpaka afe TRA wabslipwa kuliko Madaktari Kama anabisha alete data to prove that Doctors are the highiest paid civil servants.
........... wataomba, kwa masharti yale yale waliyoyagomea!, na this time masharti yao ya ajira mpya yatatamka 'expresisly' not 'impliedly' ni marufuku kugoma, na ukigoma tuu jihesabu you have lost your job!.
wewe pasco umetumwa kupima upepo ee?wakifukuzwa madaktari kada nyingine za afya zinaingia rasmi kwenye mgomo!!
kumbuka almost kila wilaya kuna M.D tofauti na miaka ya zamani,hawa wanaweza kutumika kuwashawishi mpaka walinzi kuingia kwenye mgomo.toka lini serikali ikaogopa kukutana na watu wake eti kisa hawana uhakika na usalama?huu ni upuuzi na muendelezo wa siasa za maji taka.chonde chonde pasco na kundi lako angalieni sana kwani kinachofuata ni maandamano ya wagonjwa na ndugu zao.kwa hiyo unategemea walipa kodi wakubali madaktari waliosomeshwa kwa kodi zao wafukuzwe kirahisi rahisi.
The deviding line ya wafanyakazi wa Tanzania na watumwa is very thin, Watumwa walinunuliwa kama bidhaa, wafanyakazi japo hawakununuliwa lakini wamejinunulisha na hawathaminiwi!. Pia watumwa, hawakulipwa, ila walikula bure na kulala bure, wafanyakazi japo wanalipwa, wanalipwa nothing, au peanut!, haitoshi kula, wala hawana mahali pa kulala!.Pasco mtumwa anaweza kulazimishwa kwenda asikotaka.
@Pasco
Naweza kukuridisha nyuma je unaweza kutuwekea hapa Nini hasa madai ya madaktari? Maana ukiona wasomi nao wanakuwa wanasiasa tujue nchi inakwenda pabaya. Na before gmo jithada gani zimefanyika zkashindindwa kuzaa matunda . itapendeza tupate pcha ya pande mbili zote za shilgi. so far naona madakatari wanaaibsha taaluma yao na wamekuwa "wabinafsi" sana.
@ CDM na vyama vingine vya SIASA
Alafu CHADEMA na vyama vyote vya siasa wanatakiwa watoe tamko na msimao wao wa chama juu ya mamba kama haya.
Wasidhani hili ni jambo la CCM tu. Yes CCM inangoza serikali lakini iliyogoemwa ni serikal . Na CDM au CUF wanaweza kuongoza Serikali siku moja . Hii ni wish ya kilwa mpenda mabadiliko na mm nikiwa mmoja wao
Dr Slaa, Mtatiro, au waemaji wenu wa mambo ya afya watanzania tunataa kusikia msimamo wenu Offcial.
alafu Pasco kwa uchokozi wangu zaidi baada ya kutafuta picha ya madokta wawili ukakosa tafadhali mtafute Dk slaa na muulize kuhusu hili. ikiwezekana aapata muda aje atupe msimamo wake (wa chama) kwenye hii thread. Au mtu yeyote mwenye acess na CHADEMA awaambie watoe tamko rasmi
Mara nyingi vyama vya upinzani hawatoi mbinu kwa serikali jinsi ya kutatua migogoro ya kila siku. Wao ndio wenye ridhaa ya wananchi na si ndio wanaokusanya kodi. sana sana vyama vya upinzania vitasema mkae nao na muwatimizie masharti yao, ili mambo yaendelee.
Mkuu Matola, don't take me serious, but just wait and see!.
Its just a matter of time subiri tamko hilo within the next 48hrs!, unless madaktari wakomaji wamekubali kuitikia mwito wa serikali kuifuata ilipo, wakishikilia msimamo wao, kuwa lazima serikali ndio iwafuate walipo, serikali haitawafuata and they will be fired!.
Mara nyingi vyama vya upinzani hawatoi mbinu kwa serikali jinsi ya kutatua migogoro ya kila siku. Wao ndio wenye ridhaa ya wananchi na si ndio wanaokusanya kodi. sana sana vyama vya upinzania vitasema mkae nao na muwatimizie masharti yao, ili mambo yaendelee.