Wanabodi naanza na angalizo!.
Kama wewe hujui chochote kuhusu " will power" na "faith healing" nakushauri jisomee tuu na usichangie kitu ili nawe sasa uelimike!.
Mgomo huu wa madakitari unaendelea licha ya kuliangamiza taifa kwa the weakest to perish, pia utaliimarisha taifa kwa the strongest to survive!. Hivyo please let the weak die the sooner the better and in fact eventually they will die anyway, the sooner they die the better!.
Nasema mgomo huu utaimarisha zaidi afya za Watanzania kwa sababu sehemu kubwa ya magonjwa mengi ya kila siku ni "Psachosomatic desease" watu wanaigua kwa sababu tuu daktari yupo!.
Inapotokea daktari hayupo, will power ndani ya miili ya Watanzania sasa ndio inakuwa invoked to work against all deseases hivyo kupelekea watu wengi kutougua kabisa!.
" Will Power" ndio kitu cha nguvu na uwezo mkubwa kabisa kufanya lolote ndani ya mwili wa binaadamu kuliko jambo lolote!.
Tunapougua na kwenda kutibiwa, kinachoponyesha sio lazima ile dawa bali ni "will power" iliyo ndani yako!. Hata wale wachungaji wanaoombea watu na kuponya kwa miujiza, kinachoponyesha sio miujiza yao na wala sio jina lolote wala nguvu yoyote kutoka popote bali ni kutoka ndani yako!.
Ili mwili wako uweze kuitumia hiyo "will power" yako, hiyo will power lazima iwe invorked ili iamke na kutenda makuu. Hiyo invorking inafanyika kwa imani na imani rahisi ni kuamini ni Mungu, au kwa Jina la Yesu!. Waganga na matapeli hui invoke kwa jina lolote lile iwe ni pretex ya mizimu, manyanga, kupandisha mashetani, kuotoshwa kama kikombe cha Babu etc ili mradi ni hiyo will power iamshwe ifanye mambo!.
Hivyo huu mgomo ni blessing in disguise kwani Watanzania wakishajua hakuna daktari, will power sio tuu itaponya maradhi bali pia itazuia maradhi mengi zaidi!.
Natoa wito kwa madaktari wetu, endeleeni kugoma kwa sana hata ikibidi gomeni jumla kabisa!, let the weak wajifie zao na kutupunguzia gharama za kuwahudumia!, let the strong live bila kuugua ili tulijenge taifa letu!.
Mungu wabariki madaktari wagomaji!.
Mungu Ibariki Tanzania!.
Wasalaam.
Pasco (wa jf).