Mgomo wa mabasi Mbeya

Stand ndio kuko hivyo, nimetumiwa picha na mtu ambaye yuko Hilo stand. Sio kawaida stand kuwa nyeupe hivyo, mitaa ya mjini huku daladala zinafanya kazi, ndio maana nimeomba kwenye taarifa zaidi atujuze.
 
Labda wamezuia mabasi wanafanya usafi stand...si unaona palivyo pasafi hakuna hata ganda la pipi
 
Umeshaleta madhara makubwa ya kupoteza watu zaidi ya 20 kwenye ajali ya Kipanya huko mbeya asubuhi hii...... ni hatari sana. Kipanya kiliona fursa ya ku-make ndio hio kikajaza watu kikaondoka nduki, dereva mawazo yake yote ni pesa tu kwamba aende arudi achote tena, maskini wa MUNGU wametumbukia mtoni wote.
 
Inasikitisha sn serikali ichukue hatua
 

Attachments

  • 1429258323552.jpg
    46 KB · Views: 262
  • 1429258346222.jpg
    119.4 KB · Views: 235
  • 1429258378794.jpg
    96.5 KB · Views: 256
Jesus--- Kuna mgomo wa Bara bara ya Kyela Mbeya Mwenye hiyo hiace kajitokeza kubeba abiria. Kutokana na hali ya mgomo akajaza kupitia kiasi. amefika mtu kiwira kona ikamshinda akatumbukia mtoni

inasemekana wamepona wawili tu
 

Mpwa njia ya Mbeya Kyela kama huna ujuzi na ni mgeni kwa njia hiyo lazima upate ajali ni njia mbaya sana miteremko na kona nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…