Mgomo wa daladala waumiza wakazi Mwanza

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,400
Baadhi ya wakazi wa jiji la Mwanza, leo wamelazimika kutembea kwa miguu na baadhi yao kutumia usafiri wa bajaji, bodaboda na malori aina ya Canter kwenda katika shughuli zao za kikazi na kibiashara kutokana na madereva wa daladala zinazosafirisha abiria kati ya Buhongwa – Airport na Igoma – Buhongwa jijini humo kufanya mgomo.

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza likalazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya madereva wa daladala waliokusanyika katika kituo cha mabasi Nyegezi kwaajili ya kufanya mgomo wa kusafirisha abiria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom