Wadau kama tutakumbuka vizuri,jana katika taarifa za habari kulikuwa na habari ya wamachinga kupewa maeneo mawili katikati ya jiji la mwanza na mkuu mpya wa mkoa bwa magesa mulongo,maeneo waliyopewa ni standi ya Tanganyika na ile ya magari ya kwenda airport kutokea Igoma.katika pitapita zangu asubuhi ya leo mjini nilikuta machinga wameamka usiku kuwahi maeneo katika sehemu hizo,hivyo kukawa top hakuna gari kuingia wala kusha pale Stand ya Tanganyika,na ile nyingine.Kufuatia kitendo hicho,watu wa daladala wamejipanga vyema hasa wale waliokuwa wanatumia maeneo hayo wamegogoma,na wamezifunga barabara zote za katikati ya mji kwa kuegesha magari barabarani na wao kushuka.
My take: Wakati wa Ndikilo,kulikuwa na mpango wa halmashauri ya jiji la Mwanza kusafisha mji kwa kuwatoa wamachinga katikati ya mji,zoezi lililotumia million mia 2,sasa iweje leo warudishwe tena kwa kupewa maeneo makubwa zaidi?nadhani Mulongo anafanya hivi kuwafuta machozi machinga wa Mwanza,ili kumpiga kumbo Wenje ambae amekuwa mstari wa mbele kuwatetea,ili kuirahisishia CCM kupiga kampeni vizuri katika uchaguzi mkuu ujao,na baada ya hapo,wawafukuze tena.
Magesa hii ni Mwanza,usipotulia na kutumia Busara utaomba uhamisho mwenyewe,ila ukiwa mstaarabu kama wana Mwanza walivyo,hautatamani kuhamishwa.

Wenye madaladala wafunga barabara!
Niko. Nyakato national, sehemu gan asee?
Watu wengine mmezaliwa kubisha tu,wagumu kama nyama ya tak*****,aliyetangaza machinga kupewa maeneo hayo tena hata magazeti ya leo yameandika ni nani?si Mulongo?wewe jamaa kama unataka kubishana tafuta post za kubishi huko siyo hii,muulize Mulongo,je yeye nae ni Afisa mipango miji?usiniulize mimi,nimeandika alichokifanya,tatizo hata tv hamuangalii,magazeti hamsomi,whatsapp na fa facebook tu,ukipotea sana unakuja jamii forum mapenzi,sasa ukipotea unajikuta kwenye post kama hizi ambazo hata huna abc nazo,unaishia kucomment kama ulivyocomment hapa.Mulongo ni mkuu wa mkoa anahusikaje na mipango miji acheni kuzushia watu uongo, shindweni kazi wenyewe.
Natupiapo vipicha
Watu wengine mmezaliwa kubisha tu,wagumu kama nyama ya tak*****,aliyetangaza machinga kupewa maeneo hayo tena hata magazeti ya leo yameandika ni nani?si Mulongo?wewe jamaa kama unataka kubishana tafuta post za kubishi huko siyo hii,muulize Mulongo,je yeye nae ni Afisa mipango miji?usiniulize mimi,nimeandika alichokifanya,tatizo hata tv hamuangalii,magazeti hamsomi,whatsapp na fa facebook tu,ukipotea sana unakuja jamii forum mapenzi,sasa ukipotea unajikuta kwenye post kama hizi ambazo hata huna abc nazo,unaishia kucomment kama ulivyocomment hapa.
hizi daladala kwanini zisirudi stand ya zamani pale nyerere road karibu na mataa opposete na saif plaza? madiwani wa chadema wanafanyakazi gani? mambo yote yanakwenda hovyo tu utadhani hakuna halmashauri ya jiji, hata maboss wao mbowe na Slaa yamekodoa macho tu.
Watu wengine mmezaliwa kubisha tu,wagumu kama nyama ya tak*****,aliyetangaza machinga kupewa maeneo hayo tena hata magazeti ya leo yameandika ni nani?si Mulongo?wewe jamaa kama unataka kubishana tafuta post za kubishi huko siyo hii,muulize Mulongo,je yeye nae ni Afisa mipango miji?usiniulize mimi,nimeandika alichokifanya,tatizo hata tv hamuangalii,magazeti hamsomi,whatsapp na fa facebook tu,ukipotea sana unakuja jamii forum mapenzi,sasa ukipotea unajikuta kwenye post kama hizi ambazo hata huna abc nazo,unaishia kucomment kama ulivyocomment hapa.
Mulongo ni mkuu wa mkoa anahusikaje na mipango miji acheni kuzushia watu uongo, shindweni kazi wenyewe.
Haya mambo wakati Halmashauri ya jiji inaongozwa na Mayor kutoka Chadema uliyaona? Yamejitokeza baada ya kuchakachua mambo na kumuweka huyo Meya wenu na kuvuruga kila mpango kwa kuweka siasa mbele.
Tena kama sio Mbunge Wenje kuwa karibu na hao Wamachinga na kujaribu kuwa kati yao na serikali ya mkoa hali ingekuwa mbaya sana. Yeye kasema wamachinga wanaweza kuweka biashara mahali watakapoandaliwa mazingira ya kufaa na uwezekano wa wateja kufika lakini kila siku mnataka kuwaona machinga kama adui mijini ila kura zao mnataka.
kama madiwani kupitia halmashauri yao hawana uwezo wa kufukiri matokeo yake kila mtu anakuwa mipango miji, ukweli chadema mumeshindwa kazi mwanza hilo kubalini acheni ubishi wa kijinga, na kutukana watu sio suluhisho la matatizo yenu, wakati wa ccm parkin fee ilikuwa shs 300 na walijenga parking zao, chadema wamekuja wakapandisha hadi shs 1000 na haijulikani pesa zinakwenda wapi, au lile gorofa la mke wa kigogo wa cdm ndo linatumalizia pesa.
Wakati wa utawala wa shomari kamese na ole njolaay masoko mapya yalijengwa, fursa mpya za kibiashara zikaanzishwa tofauti na hawa wahuni wa sasa.