THOMAS NCHIKILA
Member
- Jan 18, 2014
- 11
- 0
Pale Buzuruga hapapaswi kuwa stendi, bali kushusha au kupakia abiria tu.
napendekeza wafanya 1000
Inawezekana kazi iliyofanywa ilikuwa sub-standard, lakini kwa uelewa wangu kile ni kituo cha kushishusha na kipakia tu, sio parking, kwa maana hiyo sioni kwa nini wakigomee. Wao wanataka kupiga debe na kutuibia tu hawana lolote hao. Upande mwingine hawa jamaa wa jiji wajaribu kuwa wanachukua maoni ya wadau kabla ya project za vile, isije kusababisha hasara ya kuweka project ambazo hazitawanufaisha walipa kodi. Hata ukiingia buzuruga stendi kuu ya basi ni muundo huo huo, gari la mbele linatangulia..Pale Buzuruga hapapaswi kuwa stendi, bali kushusha au kupakia abiria tu.
Madereva wa daladala wagoma kuingia barabarani na kusababisha wananchi kuchelewa makazini kwao vivyo hivyo na kwa wanafunzi pia chanzo bado sijakipata ila kwa tetesi ni kwamba hawaitaki stand ya daladala ya nyakato-buzuruga kwa madai imefinya sana kwa hiyo wanashndwa kupishana hadi aanze kitoka wambele.
Hii imetokea leo tarehe 17/02/2014,Hapa JIJINI MWANZA.
NINI MAONI YAKO KUHUSU MGOMO HUU,KWA WAMILIKI WA DALADALA NA SERIKALI?
Hii ndio maana halisi ya maneno kuwa nchi haitatawalika. Mafisa wa serikali wavamzisha usumbufu wa kiaina ili wajinufaishe huku utawala wa ccm unaangalia tuu bila kuchukua hatua. Angalia sasa migomo ya madereva na ma Rc wanaongea hawasikilizwi. Wfanyabiashara wanagomea machine za kodi Waziri na serikali wanatoa matamko hawasikilizwi,bado tutasema nchi inatawalika? Hapana haitawaliki na raia ndio wanapata shida zote hizo.Hapa Mwanza kitengo cha Usalama barabarani kuna 'ka-sheria' kao ambako sio officially: kila trafiki kwa siku lazima ukamate gari 3 ambazo ni za boss, yaani hizo lazima zifike sentro ili wenye hizo gari wamalizane na bosi! Kumbuka afande aliyepo barabarani naye anahitaji zake! Source: nyumba ndogo yangu ni trafiki!