Mgomo wa daladala arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa daladala arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TECHMAN, Jul 22, 2011.

 1. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Leo mchana huko Arusha palikuwa na mgomo kubwa wa daladala hasa ziendazo maeneo ya uswahili na zile ziendazo engosheratoni hii ilichukua mpaka jioni, kutokana na taarifa ya dereva mmoja wa daladala za Arusha, umesema kuwa jumatatu kutakuwa na mgomo ambao utahusisha route zote za daladala arusha. kisa kutokana na dereva huyo ni kuwa wamekuwa wakikamatwa na polisi na kutozwa faini hatabila ya kuwa na kosa lolote. mwenye habari zaidi tunaomba kusikia hili, haswa wadau mlio arusha.
   
 2. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 363
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  polisi arusha lazima uwape kitu kidogo ili ufanye kazi hasa polisi wa usa river wamezidi, route nyingine zilikuwa ok labda za unga ltd na engosheraton ila nazo zimechoka kinyama
   
Loading...