Mgomo UDOM

Mgomo UDOM

LWAKAPISI

Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
46
Reaction score
4
kuanzia asubuhi hii chuo cha sayansi ya mawasiliano(INFORMATICS)katika chuo kikuu cha Dodoma wameanza mgomo endelevu,wakigomea kitendo cha kutolipwa fedha za vitivo(special faculty requirements allowance).ninapoandika thread hii ndo nimepata taarifa kuwa safari yao imeanza kuelekea kwa waziri mkuu.
 
Njii hii haki lazima idaiwe.duh! Poleni vijana
 
Pigania haki yenu bila kuchoka Mungu atawalinda

Lakini msipende kutumiwa na chama cha Magamba
 
Sijapataona gvmnt kiziwi ikaizidi hii ya JK ,nadhani ni muda wa kuonyesha uhalisia ya mamlaka walizonazo >people power<!!!
 
Poleni sana ndugu zetu kwa madhila yanayowakumba. Tafuteni haki yenu. Ni matumaini yangu kuwa mmepitia hatua mbalimbali za amani ikashindikana hivyo mkaamua kuingia barabarani. Kila lenye kheri!
 
unajua nini jaman uongozi wa udom ni mafisadi wanachakachua fedha za wanafunzi sasa umeibuka mgomo wa kutoingia darasan hadi wanafunzi 10 waliorudishwa home watakaporudishwa chuoni yaleyale udsm tunaelekea wapi watz ktk elim
 
Back
Top Bottom