Mgomo mwingine wa madaktari hautakubalika!

wewe hiyo serikali yako unayosema inafanya kazi kwa utaratibu wake nani aliwaambia watoe ahadi Wakijua hawatatekeleza??si wangeomba muda mrefu siku waliyotuomba turudi kazini?its ppl like you who choose stupid leaders kama hawa tulionao....

Its true their stupid but how about those elect them?
 
Definitely naunga mkono mgomo wa madaktari na nina ushauri kwa watz wenzangu. Kwa nini madaktari wanatupigania sisi tumechapa usingizi? Si afadhali kada zote za jamii TUKURUPUKE ili wigo wa maslahi upanuke kwa kada zote? Maisha ni magumu kwa madaktari tuu? Mazingira ya kazi ni magumu kwa madaktari tuu?
  • Madaktari gomeni kama kawaida, acheni wagonjwa wa JK wajijue,
  • Askari magereza acheni kuzubaa, maisha yenu ni duni MNO. TELEKEZENI wafungwa na mahabusu hadi kieleweke. Kwani nyinyi hampendi maisha bora?
  • Waalimu mashuleni na vyuoni tieni makufuli hayo madarasa, acheni ushamba hapa!
  • Njia rahisi ya marubani kudai maslahi zaidi ni kurusha hizo ndege angani afu mzitelekeze huko huko, watajiju,
  • Kama vipi mashekhe na wachungaji tieni makufuli hizo nyumba za ibada. Kwani serikali imewatimizia yote mnayoidai?......................

WE ARE RIGHTLY DANCING ACCORDING TO THE BEATS! A MINDLESS LEADER MADE US IRRATIONAL TOO!
 
Wacha wagome! Mimi sio mmoja hao Watanzania uliowataja kwamba watalaani na kupinga action za madaktari!!

Madaktari wametumia njia sahihi kudai haki zao na wakapuuzwa!Kipindi cha kudanganyana kama watoto kimepitwa na wakati!

I support you doctors 100%! It's either now or Never!!

Hayo maandishi mekundu yamenikumbusha nikuona ona madarasani. Ungeweka mkazo kwa kuoanisha hoja yako na "The principle of Double Effect" katika kuhalalisha uuaji kwa jina la kudai haki.

WE ARE RIGHTLY DANCING ACCORDING TO THE BEATS. A MINDLESS LEADER MADE US IRRATIONAL TOO!
 
nimechoshwa na hizi kauli ma dr wamesomeshwa na walipa kodi!!?hivi hujui hata madactari wanalipa kodi!

Na hao wagonjwa mnaowahukumu kifo ili madaktari wapendeze wanalipa kodi serikali ya nchi gani?

WE ARE RIGHTLY DANCING ACCORDING TO THE BEATS! A MINDLESS LEADER MADE US IRRATIONAL TOO!
 
kama mnaona maslahi ni kidogo na hamuwezi kuvumilia serikali kutatua matatizo yenu basi acheni kazi! Tafuteni kazi kwingineko! Nyie si ni kada muhimu zaidi ya wengine? Pili wengine wanasema serikali wanakwenda kutibiwa nje! Issue hapa ni competence maana kama mtu ana wasiwasi na uwezo wako hawezi kurisk maisha yake kama uwezo anao! Operation ya kichwa badala ya miguu na hiyo inahitaji kuongezwa maslahi? Diagnosis ya malaria kwa wengine ni taabu! Ni watu wangapi mmewapima wana hiv mkarule out kwamba wanao wakati hawana? au kwa kuwa wananchi tupo kimya hatuwabwatukii kwa madudu mengi mnayoyafanya?! But by the way nyie ndo mnatoa reccomendation mgonjwa aende nje au lah!  naamini wapo madaktari wachache wazuri lakini wengi tumepoteza pesa za wananchi! Ni vilaza na thats why mnashindwa kuhandle issue ndogo kama hii eti mnampangia rais ni mtu gani awaongoze na nani asiwaongoze!! Nyie watu wa wapi?! Nasema mgomo wenu ni wa kitoto na haukubaliki!
najua hili la kuwa na umuhimu zaidi linakuuma na kukufanya ujihisi wa jinsia tofauti na uliyo nayo,aah vumilia tu ndio ukweliunavyo andika mpaka povu linakutoka kwa kweli sipati picha .mvua ya mate aipatayo aliye karibu yako hahaha!na kwa kweli ningepata nafasi ninge ku op masabuli ili uone ukilaza wa madactari!hivi umelipwa ngapi mpaka unajifanya huoni ukweli wewe k.n.e!hivi hujawahi sikia kashfa ya kuleta vipimo feki vya hiv iliyofanywa na hao unaowatolea mimate kama hayawani!hivi hizi post zako mkeo anajua kuwa ni wewe unaandika!?maana lazima ata question uwezo wako wakufikili maana hata kama ni kujaribu kupotosha uma wewe inabidi ukajipange..unasafari ndefu sana.labda kukumegea tu madrs hawana shida ya ajila sehemu yoyote ile ya dunia na kuliko kuendelea kushuhudia watz wakifa bila sababu zamsingi wako tayari kwa massresignition ili wewe na masabuli wengine mkatibu,unaonaje hiyo.anyway mnaless than 48hrs sisi tuone huo mpambano.du bro we zero sana.
 
Issue hapa ni kwamba hao wagonjwa ambao nao wanaidai serikali hiyo hiyo mnaowahukumu kifo ili madaktari wapendeze wamgomee nani na kivipi?

TERRORISTS!
 
Nyinyi mshambulieni huyo Kibindi left and right, lakini mimi nauliza hivi hawa madaktari si wamesomeshwa kwa fedha zetu sisi walipa kodi wa nchi hii?

Nyinyi munaoshangiria mgomo nyote ndiyo munaokwenda hospitali za binafsi kwa hivyo hamuathiriki na huo mgomo hata ukiendelea kwa mwaka mzima.

Ila musiwasahau wale waliokufa kwa kukosa huduma.

Kwa hiyo kwa kuwa wamesomeshwa kwa kodi zetu ndio wasipewe haki zao? Mbona mawaziri na kiranja wao ambao ni useless (na walitumia kodi zetu kusoma na wengi wao wakashindwa hata shule zenyewe) wanajilipa mishahara na posho kubwa wakati hawana lolote la maana wanalochangia?

Wewe na hao waliokutuma siku zenu zinahesabika m.a.***** nyie!
 
Na hao wagonjwa mnaowahukumu kifo ili madaktari wapendeze wanalipa kodi serikali ya nchi gani?

WE NAE FUATILIA THREAD ILIKOANZIA SIO UNAONGEA KAMA UNATAKA KU..RISHA.MSINGI NI KUSEMA WOTE WANALIPA KODI NA HATA MABABA NA MAMA ZAO PIA NI WALIPA KODI.SWALA WAO WALIKUBALI KUSOMA MASOMO AMBAYO EITHER WEWE ULIYAKIMBIA OR ULIATAKA LAKINI HUKUWA NA UWEZO NAYO!NO OFFENCE MKUU!
UNAPOZUNGUMZIA ISHU KUBWAKUBWA BASI PIA THINK BIG KAMA VIPI USITYPE KABISA KWA SABABU UNAWEZA UKAONEKANA UNAFIKILI KWA MASABULI KUMBE NI HALAKA TU.

WE ARE RIGHTLY DANCING ACCORDING TO THE BEATS! A MINDLESS LEADER MADE US IRRATIONAL
 
issue hapa ni kwamba hao wagonjwa ambao nao wanaidai serikali hiyo hiyo mnaowahukumu kifo ili madaktari wapendeze wamgomee nani na kivipi?

terrorists!
huu ni unafiki!mgomo ni keshokutwa na kuna about48hrs kwa nini hao waliokutuma wasijiuzuru mkuu!ni nani atakua ni muuaji katika hili!!!!??
 
Na hao wagonjwa mnaowahukumu kifo ili madaktari wapendeze wanalipa kodi serikali ya nchi gani?

WE NAE FUATILIA THREAD ILIKOANZIA SIO UNAONGEA KAMA UNATAKA KU..RISHA.MSINGI NI KUSEMA WOTE WANALIPA KODI NA HATA MABABA NA MAMA ZAO PIA NI WALIPA KODI.SWALA WAO WALIKUBALI KUSOMA MASOMO AMBAYO EITHER WEWE ULIYAKIMBIA OR ULIATAKA LAKINI HUKUWA NA UWEZO NAYO!NO OFFENCE MKUU!
UNAPOZUNGUMZIA ISHU KUBWAKUBWA BASI PIA THINK BIG KAMA VIPI USITYPE KABISA KWA SABABU UNAWEZA UKAONEKANA UNAFIKILI KWA MASABULI KUMBE NI HALAKA TU.

WE ARE RIGHTLY DANCING ACCORDING TO THE BEATS! A MINDLESS LEADER MADE US IRRATIONAL

And your point in relation to their claims is what? Waendelee kufanya kazi katika mazingira magumu? Nani anaewahukumu wagonjwa kifo, serikali au madaktari? Serikali makini inaweza kutoa ahadi hewa? Aliekutuma na wewe ndio mnaotumia masaburi yanayoharisha kufikiri!
 
Nasema hivyi safari hii wakigoma tuna kwenda kuwachomoa majumabni kwao, mgonjwa mmoja akifa na kichwa kimoja ccha daktari, hivyi ninyi washabiki wa mgomo ndugu zenu wanatibiwa regency ama vipi
 
Nasema hivyi safari hii wakigoma tuna kwenda kuwachomoa majumabni kwao, mgonjwa mmoja akifa na kichwa kimoja ccha daktari, hivyi ninyi washabiki wa mgomo ndugu zenu wanatibiwa regency ama vipi

Waambie waliokutuma kuwa habari ndiyo hiyo! Mpaka kieleweke, ama zetu ama zenu, nyambafu nyie. Mmezoea kutuonea, sasa ni zamu yetu.
 
[WE NAE FUATILIA THREAD ILIKOANZIA SIO UNAONGEA KAMA UNATAKA KU..RISHA.MSINGI NI KUSEMA WOTE WANALIPA KODI NA HATA MABABA NA MAMA ZAO PIA NI WALIPA KODI.SWALA WAO WALIKUBALI KUSOMA MASOMO AMBAYO EITHER WEWE ULIYAKIMBIA OR ULIATAKA LAKINI HUKUWA NA UWEZO NAYO!NO OFFENCE MKUU!
UNAPOZUNGUMZIA ISHU KUBWAKUBWA BASI PIA THINK BIG KAMA VIPI USITYPE KABISA KWA SABABU UNAWEZA UKAONEKANA UNAFIKILI KWA MASABULI KUMBE NI HALAKA TU.]

Kumbe nachat na yule MS...NGE wa pale kwa ustaadhi nanihii! Bwana mdogo resort to terrorism is not synonymous to THINKING BIG! Terrorism (massacre of the innocent and defenseless) is cowardice! Kama vipi tuondolee hapa ukilaza wako unaolelewa na imani za kis....nge! Ziko njia mbadala za kuwavurumusha hao mafisadi dhalimu ambao sikutofautishi nao. Kiswahili chenyewe hujajifunza utajua wapi kujenga hoja? Ustaadhi anakusubiri kule, fanya haraka!

WE ARE RIGHTLY DANCING ACCORDING TO THE BEATS! A MINDLESS LEADER MADE US IRRATIONALTOO!
 
Nasema hivyi safari hii wakigoma tuna kwenda kuwachomoa majumabni kwao, mgonjwa mmoja akifa na kichwa kimoja ccha daktari, hivyi ninyi washabiki wa mgomo ndugu zenu wanatibiwa regency ama vipi

Hakuna mtu anayelazimishwa kukutibu!Tutagoma na serikali itakapoagiza kurudi kazini bila majibu ya hoja za msingi au kuacha kazi tutachagua kuacha kazi then mtatibiwa na jeshi lenu!!JK alipoamua kuacha kulinda mipaka ya nchi badala yake akaingia kwenye kula jasho letu nani alimvuta kumrudisha mpakani??Ninajua watu watakufa lkn jikumbushe maneno haya: OUR LIVES BEGIN TO END THE DAY WE BECOME SILENT ABOUT THINGS THAT MATTER and RIOT IS THE LANGUAGE OF THE UNHEAD.
 
Nasema hivyi safari hii wakigoma tuna kwenda kuwachomoa majumabni kwao, mgonjwa mmoja akifa na kichwa kimoja ccha daktari, hivyi ninyi washabiki wa mgomo ndugu zenu wanatibiwa regency ama vipi
uanze na kichwa changu mkulu.............. Wasipotimiza madai yetu j5 ntakuwa home tabata bima oposite na st marys primary school nacheki muvi......... Karibu uje kunichomoa
 
And your point in relation to their claims is what? Waendelee kufanya kazi katika mazingira magumu? Nani anaewahukumu wagonjwa kifo, serikali au madaktari? Serikali makini inaweza kutoa ahadi hewa? Aliekutuma na wewe ndio mnaotumia masaburi yanayoharisha kufikiri!

Ungetoa hoja tu kwanza kabla ya kutukana ili nikwambie point yangu kwamba:
"KUWATELEKEZA WAGONJWA WETU WAFE [KUMBUKA BAADHI YAO NI MADAKTARI] ILI KUWAPIGANIA MADAKTARI WETU NDIYO UVIVU WA KUFIKIRI. JIBU LA UTAWALA DHALIMU KAMA WA MKULU JK NA MAFISA WAKE NI TAHRIR SQUARE, FULL STOP! Sikutofautishi na hao was..nge wenzako mnaotuchelewesha kuwavurumusha nchi ipate uhuru! Idiot! Ebu tuondoleeni misimamo ya kibaguzi hapa! WATANZANIA STOP BEING COWARDS!

THE ONLY REASON FOR EVIL TO TRIUMPH IS WHEN GOOD PEOPLE SAY NOTHING!
 
Mashine ya kusaga chakula cha kuku imewekewa mawe itoe kokoto!!!
Useless mind!!!
 
Nasema hivyi safari hii wakigoma tuna kwenda kuwachomoa majumabni kwao, mgonjwa mmoja akifa na kichwa kimoja ccha daktari, hivyi ninyi washabiki wa mgomo ndugu zenu wanatibiwa regency ama vipi
Wewe na nani?
Kibiriti ngoma!!
 
[we nae fuatilia thread ilikoanzia sio unaongea kama unataka ku..risha.msingi ni kusema wote wanalipa kodi na hata mababa na mama zao pia ni walipa kodi.swala wao walikubali kusoma masomo ambayo either wewe uliyakimbia or uliataka lakini hukuwa na uwezo nayo!no offence mkuu!
Unapozungumzia ishu kubwakubwa basi pia think big kama vipi usitype kabisa kwa sababu unaweza ukaonekana unafikili kwa masabuli kumbe ni halaka tu.]

kumbe nachat na yule ms...nge wa pale kwa ustaadhi nanihii! Bwana mdogo resort to terrorism is not synonymous to thinking big! Terrorism (massacre of the innocent and defenseless) is cowardice! Kama vipi tuondolee hapa ukilaza wako unaolelewa na imani za kis....nge! Ziko njia mbadala za kuwavurumusha hao mafisadi dhalimu ambao sikutofautishi nao. Kiswahili chenyewe hujajifunza utajua wapi kujenga hoja? Ustaadhi anakusubiri kule, fanya haraka!

we are rightly dancing according to the beats! A mindless leader made us irrationaltoo!

ni dhahiri umejaza ma.i kichwani na mtumiaji mzuri wa masabuli ndio maana unawaza kuf.l.w.!!nyamb.f na mtakoma mwaka huu.kwa hizi post zako ni lazima utakuwa unatengenezwa kwenye masabuli!haiwezekani watu wanazungumza big issues wewe unalukia ku.fln.povu linakutoka la nini sasa!!??hauko salama mkuu
na haishangazi kwani inahitajika ujasili wa kisenge kusema usemayo.du tunasafali ndefu!!
 
Back
Top Bottom