Mgomo mkubwa wanukia nchini

Hivi ile amri ya pinda ya piga ua inaisha lini?
 
Nimeangalia hizi picha hapo, najiskia kutokwa na chozi, my eyes are gloomy, sijui wenye mamlaka wanaofuja pesa. Umma watajibu nini kwa Mungiu Akati watu wanateseka ivo,
 
hivi weye rallphryder ni kichaa, mwehu, mwendawazimu au chizi? dira ya UKAWA ni kudhibiti wizi unaofanywa na CCM ili fedha za maendeleo zipatikane. sasa maendeleo yatapatikanaje ikiwa rasilimali fedha zinakwapuliwa na majizi ya CCM kila kukicha? weye unayesapoti wizi wa fedha za umma hebu niambie maendeleo yatapatikanaje ikiwa fedha zote za umma zimechotwa na majizi na kugeuzwa fedha za mboga na vijisenti.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, tpaul usitokwe povu. Maendeleo huanzia nyumbani. Hivi chadema mpaka leo bado mmepanga ofisi pale ufipa nyumba ya mkwe wa Mwenyekiti wenu, hayo ndio maendeleo? Mpaka sasa hela za harambee na ruzuku mmeshapiga hesabu ya mapato na matumizi? Kuhusu ufisadi, Je ni nani aliyewauzia chagadema maspika na mafuso mabovu kwa mamilioni ya pesa kama sio mwenyekiti? Ni nani alijipa kazi ya ununuzi na uagizaji pikipiki toka japan na akapiga hela bila kutagaza zabuni wala wala kufuata kanuni za manunuzi? Yote inayowafanya mgawane majimbo na madaraka kabla ya uchaguzi ni kiu ya kufisadi mali za nchi kwa kuwatumia watanzania wasio waerevu wanaodhani chadema ina dhamira ya kweli ya kuleta maendeleo, kumbe wachaga wanajipanga kuigeuza nchi kuwa saccos yao. Kuna watu wamejikopesha ruzuku na hadi leo hawaulizwi maana wao ndio chagadema halisi! Kumbuka, kuna chadema chumbani na chadema sebuleni, sasa wewe uko upande upi!!
 
Last edited by a moderator:
Chadema hao wanahusika moja kwa moja,

Hat bila chadema wewe kama wewe hii hali unaridhika nayo? Huenda uridhika ila wapo wanaotesaka kina mama na wnafunzi kwaajili ya CCM ewe Mtanzania zinduka where are we going?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Wee ni Teacher ama ni Doctor???Jibu tu swali,Usiogope! Kucha na Meno havitang'olewa.
 
Hawa inabidi wawe na mkakati wa kuachana na kugoma kundi moja tu la Wafanyakazi. Wawe na mawasiliano ili wakiamua kugoma wanagoma kwa pamoja wafanyakazi wote nchini wakiwemo madaktari, walimu wote nchini kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu, manesi na wafanyakazi wengine wote. Mgomo kama huu ndio utakaotikisa nchi na kuifanya hii "Serikali sikivu" kutia akili kichwani kwamba Wafanyakazi nchini wamechoshwa na porojo zao na nyimbo yao ya kila siku "Serikali haina pesa"
 
Wishful thinking.

Chadema baada ya kula virungu mara kwa mara na migomo yao huko nyuma sasa wamekuja na njia mpya kuwarubuni wengine.

Tumeshtukia.
 

Mkuu wewe utakuwa binadamu wa ajabu unayependa kuona wamama zetu na wanachi kwa ujumla tukikosa huduma bora mahospitalini, majengo mazuri ya madarasa lakini hayana walimu na miundombinu muhimu, walimu na watumishi wengi wa umma kutolipwa madai yao ya msingi kwa miaka kadhaa sasa, serikali kuwakopa hata wakulima wa kutumia jembe la mkono, wanavyuo kukosa mikopo yao na hivyo kuhatarisha maisha yao na hasa mabinti zetu, madereva wangi wa sekta ya umma kufanya kazi kama vibarua ktk maisha yao yote, waonevu wa wanyonge kupandishwa vyeo, wezi na mafisadi papa kuendelea kula bata huku wezi wa simu na kuku wakisurubiwa magerezani, barabara zimejengwa kwa lami lakini chini ya kiwango na mengine mengi yanayo fanana nayo.... Sasa watu wakisema oooh Wapinzani ndy kazi yao, hapana ndg yangu jamii sasa wanajitambua na kama ulikuwa unasubiri wajitambue kwa HISANI YA WATU WA MAREKANI basi pole sana.
 
Dah!! Hizo pics kweli zinahuzunisha but it's a problem of all 3rd world countries.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…