Walimu wanatuchanganya: migomo yao mbona huwa inaishia hewani?????, maneno mengi hakuna kinachoendelea.
Bado hujakiona kinachoendelea ndugu? Watoto wetu wanafail, walimu siku hzi wanajali miradi yao binafsi kuongeza kipato kuliko kufundisha. Ndo mana nikasema from what i can see, huu ni mwanzo wa kuzama kabisaa kwa elimu ya Tanzania.
mgomo wao noma,tunatengeneza generation full of failures.unafikiri serikali imeona hali hii?au hata kama wameona je watatake action???
wao wanapiga kiimya kimya angalia matokeo ya mwaka huuWalimu wanatuchanganya: migomo yao mbona huwa inaishia hewani?????, maneno mengi hakuna kinachoendelea.
Bado hujakiona kinachoendelea ndugu? Watoto wetu wanafail, walimu siku hzi wanajali miradi yao binafsi kuongeza kipato kuliko kufundisha. Ndo mana nikasema from what i can see, huu ni mwanzo wa kuzama kabisaa kwa elimu ya Tanzania.
Kutokana na mazingira magumu ya kazi ya walimu, madai yasiyosikilizwa, walimu wameanza mgomo kimyakimya kwa kile kinachosemekana kuwa wanaogopa kupigwa virungu. Ukifuatilia utendaji kazi wao hauleti matumaini ( hawafanyi kazi kwa moyozaidi ya kuigiza) matokeo ya kidato cha nne ni ushahidi wa kwanza na maneno yao wenyewe ni ushahidi wa pili.
Jamii na Serikali wanatakiwa kuwasikiliza na kuikwamua elimu