Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
habari za kuaminika toka Dodoma zasema kuwa mgomo wa wananchuo wa CBE dodoma umeingian siku ya tatu hii leo.
wanachuo hao wamegoma kushinikiza mitihani iwe inatungiwa CBE dodoma na sio CBE dar kama ilivyo sasa.
hao ndio wanazuoni wetu
wanachuo hao wamegoma kushinikiza mitihani iwe inatungiwa CBE dodoma na sio CBE dar kama ilivyo sasa.
hao ndio wanazuoni wetu