Mgombea

klorokwini

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
8,647
Reaction score
5,147
Mgombea: nitajenga daraja hapa kijijini
Wananchi: Mheshimiwa! hakuna mto
Mgombea: Nitachimba
 
Mgombea: mkinipa kura zenu nitahakikisha darisalam kunamwagika Snow.
Wananchi: Khaaa!
Mgombea: msishangae, hata London kabla Tony Blair kulikuwa hakuna snow.
 
Mgombea: Nikikabidhiwa ofisi rasmi nitahakikisha kila nyumba inakuwa na washing machine.
Wanakijiji: Mheshimiwa huyo (washing machine) ndio nani ?
Mgombea: Basi nitaleta mwalimu wa kiingereza kabla washing machine
Wanakijiji: Mheshimiwa huo ni ubaguzi sasa.
 
Mgombea:Nita hakikisha shule zote zinakuwa na compyuta
Wanakijiji:Hata umeme hatujawahi kuwa nao tutazifanyia nini?
Mgombea:Msiwe na wasi wasi mtaanza kujifunza kwa nadharia kwanza
Wanakijiji:Mbona sisi hatumfahamu huyo nadharia?au umekuja nae kutoka mjini?
 
Mgombea: Tutaagiza helikopta za kupelekea wagonjwa hospitali.
Wananchi: Mheshimiwa uchaguzi uliopita ulituahidi ambulances lakini hatujaziona mpaka leo.
Mgombea: Zipo njiani, zimekwama kwenye Traffic hapo msumbiji na hili tatizo la traffic ndio limetufanya tuje na mbinu ya Helikopta.
Wananchi: sasa tumekuelewa mheshimiwa.
 
Mgombea: Ndugu wananchi hivi sasa ni vita, na mnajua tutakwenda vipi vitani?
Wananchi: Wewe mbele sisi nyumaaaaa!
Mgombea: mabasha wakubwa nyinyi! tutakwenda bega kwa bega.
Wananchi: khaaaa!
 
tehe!tehe!tehe!
Huyu mgombea noma!
Haishiwi majibu?
Lazima atakuwa mgombea kwa ticket ya CCM.
 
tehe!tehe!tehe!
Huyu mgombea noma!
Haishiwi majibu?
Lazima atakuwa mgombea kwa ticket ya CCM.
heheeh halaf mgombea anatafta mchumba ujue! vipi upo availebo sweetlady?
 
Mgombea: Ndugu wananchi hivi sasa ni vita, na mnajua tutakwenda vipi vitani?
Wananchi: Wewe mbele sisi nyumaaaaa!
Mgombea: mabasha wakubwa nyinyi! tutakwenda bega kwa bega.
Wananchi: khaaaa!
hahhahahh mgombea mwoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…