mgombea wa ubunge zanzibar kupitia CHADEMA

mgombea wa ubunge zanzibar kupitia CHADEMA

Kuna ustarabu gani zenji wewe!;Acha zakuleta;Kama mngekua wastarabu msingemwagia wageni tindikali.Kijiji chenu hakifai kabisa hicho!;Eti nchi looo!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
teh teh...ni kweli mkuu, ustaarabu gani wa kuiba simu ikulu?
 
Mkuu subiri atatambulishwa tu! Ila muambie jusa mchezo wa kusingizia wakristo na wabara akizidiwa ulingoni aache!
 
Mbona Zanzibar kuna wamasai wengi wamehamia, kakosekana hata mmoja kugombea wka CDM ?
 
Kwa maoni ya tume ya Judge Warioba ni kosa kubwa sana kwa Chadema kwenda kuendeleza Sera za ukandamizaji kwenye nchi huru ya watu Zanzibar,sisi tu kazie na utawala wa Tanganyika.Wanzibari kwa asilimia nyingi hawataki hili dudu linaloitwa Tanzania badala yake waitamani Tanganyika ili ilete usawa wa muungano. Zanzibar kwa Chadema na mtu yeyote mwenye akili timamu ni nchi za nje sambamba na Togo,Pakistani Iran nk.
 
Mbona Zanzibar kuna wamasai wengi wamehamia, kakosekana hata mmoja kugombea wka CDM ?

Hivi wenyeweji wa znz ni kabila gani?

Wapemba ? Ushawahi kukisikia kilugha cha pemba wewe ?

Waunguja ? Unaijua Lugha ya waunguja wewe ?

Kwa Taarifa yako znz ni kama USA wote ni wahamiaji tena afadhali ya USA tunasema Red Indians ndio wenyeji, znz hakuna wenyeji wote wanatoka Bara Africa na wengine Asia.
 
Katika jambo alilofanikiwa Karume ni kupiga vita UJINGA wa kijitambulisha kwa ukabila, ndio maana hadi leo wanajiita WaZanzibar. Tofauti na WaTanganyika wanajifaharisha kwa ukabila.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Wahamiaji huwa hawana kabila....ni kama kuwauliza makaburu wa south africa masuala ya kabila....but wenyeji hata Mandela alieheshimika Duniani kote alijulikana kwa kabila lake.....!
 
Wewe upo Zanzibar gani mkuu umesahau CDM ilishiriki uchaguzi wa jimbo la Uzini kama sikosei na kuwa mshindi wa pili huku CUF Iliambulia nafasi ya 3 mpk ikapelekea Jussa kusema jimbo hilo lina wakristo wengi.

wala hujakosea mkuu .
 
Nasikia watamsimamisha Elibariki Josefu Mosha...

Ni aibu sana kuonekana una chuki na kabila fulani. STOP BEING A HATER. hey hater u see me. Wa mbili havai moja mkuu kama walitangilia vumilia tu hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom