mgombea wa ubunge zanzibar kupitia CHADEMA

Kongamano

Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
42
Reaction score
8
mpka sasa hatujasikia wala kuona mgombea wa cdm huku zanzibar,
juzi tulijaribu kuuliza ofsi ya chama hapa zanzibar wakasema chama hakiwezi kupoteza pesa nyingi wakati hakina mizizi,
wakasema wanajipanga kuajili vijana wa zanzibar kama njia ya kuwavutia kujiunga na chama,

kwa sasa twauliza tujue kama kutakuwa na mgombea au la, hata mie niteueni nitakuwa tayari kugombea
 
Kwa mtazamo wangu, mmepewa majibu sahihi. Hiki ni chama makini! "Huwez kinga mikono tu kisa, et umeckia wanagawa fedha!"
 
Jimbo la uchaguzi Zanzibar ni sawa na kijiji cha Tanganyika kwa ukubwa,ni sawa na kugombea uenyekiti wa kijiji Tanganyika
 
Chadema sehemu ya wastaharabu haiwezi shinda kamwe
 
Kuna ustarabu gani zenji wewe!;Acha zakuleta;Kama mngekua wastarabu msingemwagia wageni tindikali.Kijiji chenu hakifai kabisa hicho!;Eti nchi looo!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Chama makini na viongozi makini uwa awakulupuki tu mipango kwanza utekelezaji badae pipoziiiiiiiiiiii
 
mpka sasa hatujasikia wala kuona mgombea wa cdm huku zanzibar,
juzi tulijaribu kuuliza ofsi ya chama hapa zanzibar wakasema chama hakiwezi kupoteza pesa nyingi wakati hakina mizizi,
wakasema wanajipanga kuajili vijana wa zanzibar kama njia ya kuwavutia kujiunga na chama,

kwa sasa twauliza tujue kama kutakuwa na mgombea au la, hata mie niteueni nitakuwa tayari kugombea

Wewe upo Zanzibar gani mkuu umesahau CDM ilishiriki uchaguzi wa jimbo la Uzini kama sikosei na kuwa mshindi wa pili huku CUF Iliambulia nafasi ya 3 mpk ikapelekea Jussa kusema jimbo hilo lina wakristo wengi.
 
Nasikia watamsimamisha Elibariki Josefu Mosha...

Mbona umebadilika sana siku hizi...unatabia fulani hivi haieleweki au umezidiwa,tangia uhemewe kisogoni umebadilika sana,laana hii ndio imesababisha uibe rambirambi kwa ajili ya matunzo.
 
kwa akina chadema/tobo lisu, zanzibar ni nchi jirani. wewe hukuona hata juzi kwenye shereze za 50 years za mapinduzi hawakuhudhuria? mwenye macho haambiwi tazama.

Back
Top Bottom