GE2025 Mgombea wa Nafasi ya Ubunge Viti Maalumu Kupitia UVCCM Vijana Jasmine Mumbi apiga magoti kuomba kura za wajumbe

GE2025 Mgombea wa Nafasi ya Ubunge Viti Maalumu Kupitia UVCCM Vijana Jasmine Mumbi apiga magoti kuomba kura za wajumbe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Mgombea wa Nafasi ya Ubunge Viti Maalumu Kupitia UVCCM Vijana ( Jasmine Mumbi ) akipiga Magoti Kuwaomba Kura za Ndio Wajumbe wa MKUTANO Mkuu Maalumu wa UVCCM Taifa .

 
525627954_736580625643117_4061327807332629142_n.jpg
Mgombea wa Nafasi ya Ubunge Viti Maalumu Kupitia UVCCM Vijana (Jasmine Mumbi ) akipiga Magoti Kuwaomba Kura za Ndio Wajumbe wa MKUTANO Mkuu Maalumu wa UVCCM Taifa.

 
Pungezeni maigizo! Wanasiasa bwana. Simjui huyo Jasmine kabisa lakini wanasiasa wana tabia ya kuingia kwenye siasa na unyenyekevu halafu tunakiona cha mtema kuni -- wakishanyonya nchi wanajiona miungu midogo. Hata hayo magenge tunayosikia sasa hivi ya ufisadi na utekaji walianza na kujifanya wanajali wananchi sana -- kwenye kampeni kujifanya wana umoja na wananyonge kukaa chini, kunywa kahawa magengeni, lakini wakishapata madaraka -- watetezi wanageuka kuwa watesaji.
 
Kipenzi Changu Jokate,,Kwa Taswira Ya Uso Wake Ni Kama Anasema....."Huyu Nae Mbona Anafanya Mambo Kipuuzi Hivii"
 
Bora kufa ukiwa umesimama, kuliko kuishi huku ukiwa umepiga magoti.
 
Back
Top Bottom