livingafrican
Member
- Jun 11, 2009
- 58
- 19
Baada ya jina lake kukatwa na vikao vya juu aliyekuwa Mgombea wa Chadema Jimbo la Mufindi Kaskazini Bwana Utamwa Asheri amejiunga na ACT mchana huu. Amechukua fomuj kwa chama hicha tayari kwa kupambana na Mh Mgimwa wa CCM. Amechukua hatua hiyo baada ya jina lake kukatwa wakati aliongoza kura za maoni.

Badilisha title iwe aliyekuwa mgombea.
Natanguliza shukurani
Kajuaje? Kwani wagombea wameshatangazwa?
Kukatwa ni hatari sana.
Tunamtakia kila la kheri na heshima yake itabakia palepale,hatuwezi kumuita makapi
Kukatwa ni hatari sana.
Nyie huwa bongozenu zimebunguliwa hamjui siasa mnapenda kila siku nyie jipimeni
Hio ni B mwenyewe anajua
Sukazi yake wapo wahusika
Hahahhahahhaahaa kukatwa kunauma aiseeeila kama ana akili angebaki Chadema na sio kwenda huko wala kule
Upo tena na huku kamanda angalia usipasuke msamba uzi wako wa Zitto umeucha umekumbilia huku.Kaenda kujitumbukiza kwa makusudi kwenye mto rukwa unaosifika kwa kuwa na mamba wengi tena wenye njaa