Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mgombea wa Kiti cha Urais Zanzibar kupitia chama AAFP, Said Soud alisema hayo tarehe 3/09/2025 wakati anamjibu Mgombea wa Urais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha ACT wa Wazalendo Othaman Masoud Othman anayedaiwa kutoa kauli za kichochezi na kukejeli sheria za uchaguzi wakati akizungumza na wanachama wa chama hicho baada ya kukabidhiwa fomu ya Uteuzi wa nafasi hiyo na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Agosti 31, 2025.