Mgombea Urais wa UKAWA tayari

Mgombea Urais wa UKAWA tayari

pepsin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
3,487
Reaction score
6,172
UKAWA tayari wameshampata mgombea urais wa kuwakilisha umoja huo.
Kwa sasa jina lake bado ni siri mpaka hapo tarehe 14 mwezi huu.
Chanzo.Azam 2
 
Hapo hakuna jinsi lazina CUF na NCCR- Mageuzi wakubali kuwa makamu, rais lazima atoke chadema. CUF wanagombea Zanazibar.

Go Go Go Dr Slaa
 
Hawa hawana hata effects,hata wangemtangaza mgombea wao mwezi wa 9 poa tu.
 
No one is interested with UKWAJU sijui UKAWA...
Acha watimize wajibu tu...
Rais bora wa Tanzania kwa sasa hawezi kutoka nje ya CCM...!!!!!!
 
mambo yashakua magumu magufuli kachukua nchi.
 
Wanaficha nini wakati wakati hawana zaidi ya lipumba na slaa. Uchaguzi huu ni wa chama kimoja tu, hawa ukawa wanasindikiza tu.
 
Ukichukua raisi kini huna wabunge wa kupitisha miswada feki CCM itaishije!!!!Lazima mtakimbia bungeni safari hii
 
No one is interested with UKWAJU sijui UKAWA...
Acha watimize wajibu tu...
Rais bora wa Tanzania kwa sasa hawezi kutoka nje ya CCM...!!!!!!
Bora kwa kukata mauno kama tunavyoona ukumbini wakiburudishwa na TOT? Kama ni ubora huo basi ni kweli lazima atoke CCM
 
UKAWA tayari wameshampata mgombea urais wa kuwakilisha umoja huo.
Kwa sasa jina lake bado ni siri mpaka hapo tarehe 14 mwezi huu.
Chanzo.Azam 2
Sasa unasema wamepata mgombea halafu bado unasema wanafanya siri.
 
Mnachoficha ni nini wakati wagombea wenyewe hawazidi hata wawili.
 
Ukishikiwa akili huwezi kuja na fikra zako!! Jiongezeee acheni fikra za kizaman.
 
Ccm wanaweza chukua uraisi ndyo, lkn wabunge watatafuta sana ila hawatashinda
 
Wanaficha nini wakati wakati hawana zaidi ya lipumba na slaa. Uchaguzi huu ni wa chama kimoja tu, hawa ukawa wanasindikiza tu.

Wanatimiza wajibu wa chama and not otherwise
 
ukawa hapa nguvu tuwekeze kwenye kupata wabunge wengi bt kwa urais nadhani ccm wamepiga bao tukipata wabunge wengi kushinda ccm tutakuwa na access ya kumpata spika wa bunge na waziri mkuu na tunaweza ku run serikali from back door
 
Back
Top Bottom