Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR Mageuzi Dkt. Eveline Munisi amesema usalama katika nchii utaimarika sana na ataweka mazingira mazuri kwa watumishi wa umma katika kipindi ambacho ataingia madarakani pindi wananchi watakapo mpa kura za kutosha mgombea Urais wa chama hicho
Aidha katika hatua nyengine amewaomba wananchi wadumishe amani ndani ya Nchi yao izidi kuwa nzuri kwakua wapo wanaoitafuta hio amani hawaipati katika Nchi zao na wanakimbilia katika Nchi ya Tanzania “Amani ya taifa letu ni dhamana yetu sisi wenyewe usisubiri askari aje kwaajili ya amani yako,usisubiri wakubwa viongozi wenye mamlaka watoke kwaajili ya amani yako”amesisitiza Dkt.Munisi