Mgombea urais mkali aelekea kushinda Philipines

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,967
2,147
Muda mchache uliopita vituo vya uchaguzi vimefungwa huko Philipines. Taarifa za awali za kiurafit (Survey) zinaonesha kuwa mgombea urais mkali na asiyeoenda mzaha Rodrigo Duterte anaelekea kushinda. Mgombea huyu hana simile inapokuja suala la kupambana na majambazi, wezi, wauaji, wahujumu uchumi, mafisadi nk. Yeye anaamini hawa ni wa kunyongwa / kuuawa tu hakuna kuwalazia damu. Kama kweli atashinda basi Philipines itakuwa ni patashika nguo kuchanika mwendo mchaka mchaka. Tuwaombe wafilipino huyu jamaa ashibde maana nchi ile ilishakuwa ni shsmba la bibi jwa muda mrrfu saba.
 
Back
Top Bottom