GE2025 Mgombea urais CHAUMMA aanza ziara ya kusaka wadhamini

GE2025 Mgombea urais CHAUMMA aanza ziara ya kusaka wadhamini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu na mgombea mwenza wake, Devotha Minja, wakiongoza kazi ya kuandikisha wadhamini wao leo mkoani Lindi.

Mgombea huyo wa CHAUMMA ameanza leo ziara katika mikoa mbalimbali ya kuomba udhamini wa kupeperusha bendera katika nafasi hiyo ya Urais kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.

Screenshot 2025-08-16 143718.png


Soma pia: CHAUMMA wahaha kusaka Mgombea urais
Source: Nipashe digital
 
Back
Top Bottom