GE2025 Mgombea Urais ADC: Nikiwa Rais amtolipa umeme wala maji

GE2025 Mgombea Urais ADC: Nikiwa Rais amtolipa umeme wala maji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe, amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais, Serikali yake itatoa bure huduma zote za kijamii ikiwemo afya, kuunganisha umeme, maji na elimu kuanzia ngazi ya awali

Ameyasema hayo leo, Agosti 14, 2025, baada ya kuchukua fomu za uteuzi wa kugombea urais akiwa ameambatana na mgombea wake mwenza, Shoka Khamis Juma, katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, jijini Dodoma

Chama hicho, baada ya kuchukua fomu hizo, kimefikisha idadi ya vyama 15 ambavyo wagombea wake wameshachukua fomu


 
Isingekua ccm hivi vyote vingekua vimetekelezwa.... Yote yanawezekana ila wao wako busy kutapanya pesa kama wehu
 
Back
Top Bottom