Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Hakika hii moja ya hoja nzuri sana kutoka kwa gombea urais wa ADA TADEA.
==============
Mgombea Uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Ada Tadea Georges Bussungu ameahidi kuwa iwapo atapata ridhaa ya kuongoza, ataanzanisha kituo maalum cha teknolojia ya akili bandia ili watanzania waitumie katika uzalishaji wa bidhaa na huduma.