GE2025 Mgombea urais Ada Tadea: Nitaanzisha kituo maalum cha teknolojia ya akili mnemba katika uzalishaji wa bidhaa na huduma

GE2025 Mgombea urais Ada Tadea: Nitaanzisha kituo maalum cha teknolojia ya akili mnemba katika uzalishaji wa bidhaa na huduma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Hakika hii moja ya hoja nzuri sana kutoka kwa gombea urais wa ADA TADEA.
==============
Mgombea Uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Ada Tadea Georges Bussungu ameahidi kuwa iwapo atapata ridhaa ya kuongoza, ataanzanisha kituo maalum cha teknolojia ya akili bandia ili watanzania waitumie katika uzalishaji wa bidhaa na huduma.

Back
Top Bottom