GE2025 Mgombea Urais ADA TADEA aahidi kujenga Bongo technology city

GE2025 Mgombea Urais ADA TADEA aahidi kujenga Bongo technology city

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Mgombea urais kupitia Chama cha ADA TADEA, George Bussungu, amesema iwapo atachaguliwa, serikali yake itajenga mji maalum wa teknolojia unaoitwa Bongo Technological City, ambapo vijana wenye vipaji kutoka mikoa yote watapelekwa kwenda kuvumbua na kuendeleza miradi mbalimbali ya kiteknolojia.

Akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Singida kwenye stendi ya zamani, Bussungu amesema:

“Mkitupa ridhaa tutajenga mji maalum wa teknolojia ambao tutauita Bongo Technological City, watoto wote vijana wote wenye bongo wenye akili nyingi watakuwa wanabebwa na kupelekwa kule wakavumbue mambo,” amesema.
 
King’amuzi kikiwa kimeishiwa kifurushi..!!
 
Back
Top Bottom