Alhaj Hamis Membe
Je kama alilipa Cash? Ufisadi mkuu namna hii si ajabu!VX 24 ?!! atalipaje baadaye? kama msaada kwa nini
Membe hafai kabisa raisi hapa ni pinda tuu wengine wasindikize tuu
Yaani atoke Kikwete aingie Kikwete? Huyu si mdogo wake Kikwete? Baba mmoja Mama tofauti!
Tutamchagua mtu kwa sifa zake na wala siyo kwa imani yake au kama anaungwa mkono na kanisa, msikiti au mbuyu.
Mkuu umeniacha hoi hao wamoja?
Je kama alilipa Cash? Ufisadi mkuu namna hii si ajabu!
Mimi ni Mkatoliki lakini kama CCM wakimsimamisha Membe na Upinzani wakimsimamisha Muislamu,Nipo radhi nimchague Muislamu kuliko huyu mtu!