Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,770
- 4,856
Ikiwa imebaki siku moja kuhitimisha kampeni za uchaguzi mkuu mgombea udiwani kwa tiketi ya chama cha mapinduzi ccm,amewaambia wananchi wa kata ya ukonga kumchagua Lowasa kuwa rais,ubunge ni Waitara na Udiwani apewe yeye.Huku baadhi ya makada wa ccm wakijipachika uccm b wakiwa na maana wanaweza badilika wakati wowote na kumpigia kura Lowasa.Mungu ibariki Tanzania.