mgombea udiwani chadema kata ya Mtae atekwa

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Mgombea udiwani wa chadema kata y mtae jimbo la mlalo ametekwa leo mchana na hajulikani hayupo. Hajarudisha fomu za kugombea udiwani, familia inamtafuta na makamanda wa chadema wanamsaka. Uhuni wa ccm. Vijana wameapa watakesha nyumbani kwake na ikibidi wanatoka na mtu.
 
Sasa wewe, ushaanza uhuni wa sisemu, sidiemu yenyewe imeonyeshana uhuni hadharani kabisa. Je kama kambi pinzani za ndani zinanyukana?
 
Duh!hii kali mkuu,isije ikawa diwani wetu amekula mlungula!
 
Sasa wewe, ushaanza uhuni wa sisemu, sidiemu yenyewe imeonyeshana uhuni hadharani kabisa. Je kama kambi pinzani za ndani zinanyukana?
Mkuu hapa kuana tatizo,na tatizo hili lazima MACCM yanahusika kwa namna moja au nyingine!
 
Acha ushabiki kwenye jambo la msingi.uhuni wa ccm unakujaje.au unajua kinachoendelea.Familia isaidiwe mtu apatikane.Mambo ya msingi sio ya kufanya Mazarin hata kidogo.
 
Mlalo ni wapi wamesha ripoti polisi hii sasa haiwezekani wanataka kata apewe MCCM bila kupingwa basi ijulikane hakutakuwa diwani hapo mpaka kieleweke
 
We nae kila kitu CCM wamefanya je je Mwigamba alidundwa na CCM
No evidence no right to speak
 
Mgombea udiwani wa chadema kata y mtae jimbo la mlalo ametekwa leo mchana na hajulikani hayupo. Hajarudisha fomu za kugombea udiwani, familia inamtafuta na makamanda wa chadema wanamsaka. Uhuni wa ccm. Vijana wameapa watakesha nyumbani kwake na ikibidi wanatoka na mtu.

yes hiyo ndo dawa kisha mkamchinje hata mamake. usaliti mshahara wake hapahapa
 
Hili jambo nilililotolea tahadhari hapa MODS wakaondoa fasta!
Dah! Hatari hivi ntakosea kuwaita MACCM mashetani yenye uchu wa madaraka
 
ccm presha inawapanda na kushuka why unaleta mambo ya DR ulimboka mpaka kwenye udiwani?kazi mnayo wezi wakubwa mtakufa kwa pressure
 
Mgombea udiwani wa chadema kata y mtae jimbo la mlalo ametekwa leo mchana na hajulikani hayupo. Hajarudisha fomu za kugombea udiwani, familia inamtafuta na makamanda wa chadema wanamsaka. Uhuni wa ccm. Vijana wameapa watakesha nyumbani kwake na ikibidi wanatoka na mtu.

Du inasikitisha, ila kama ni kweli CDM ina upungufu wa hazina ya viongozi ndio maana huwachukwa waiochujwa CCM kuwa wagombea.........CCM Bado sana TZ
 
labda itakua amepanic kwahyo amejifcha mahali anaogopa kurudsha fomu.
 
Mgombea udiwani wa chadema kata y mtae jimbo la mlalo ametekwa leo mchana na hajulikani hayupo. Hajarudisha fomu za kugombea udiwani, familia inamtafuta na makamanda wa chadema wanamsaka. Uhuni wa ccm. Vijana wameapa watakesha nyumbani kwake na ikibidi wanatoka na mtu.

Huyo amejiteka ili ku-win attention za watu, hii janja ya nyani tu! CHADEMA acheni utoto utoto.
 
Sasa wewe, ushaanza uhuni wa sisemu, sidiemu yenyewe imeonyeshana uhuni hadharani kabisa. Je kama kambi pinzani za ndani zinanyukana?

We vipi wewe?
Watu wanazungumzia kutekwa unaleta mafyongo
Menopause kweli ni shida
 
Muulizeni gwakisa Wa ufipa anajua alikompleka ila mwambie asimuue km alivyofanya morogoro na Arusha
 
Back
Top Bottom