GE2025 Mgombea ubunge Massaburi aanza kazi kabla hajapata ubunge, apiga marufuku Watendaji wa mitaa kutoza pesa bodaboda Kivule

GE2025 Mgombea ubunge Massaburi aanza kazi kabla hajapata ubunge, apiga marufuku Watendaji wa mitaa kutoza pesa bodaboda Kivule

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule, Dougras Massaburi ameanza kazi kabla hajapata Ubunge akipiga marufuku Watendaji wa Mitaa kutoza pesa Bodaboda.

Massaburi amesema Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa vijana hivyo haina haja kuwatoza pesa Bodaboda.

Back
Top Bottom