Mgombea mwenza wa CCM aendeLea kukiuka taratibu

Makombeni10

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
34
Reaction score
64
Katika hali ya kushangaza mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM mama Samia Suluhu Hassan leo amechelewa kumaliza mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Usagara jijini Tanga.mama Samia alichelewa kufika mkutanoni,a lifika saa 12 kasoro na kuanza kuhutubia saa 12 kamili na kumaliza saa 12 na dakika 40.kwa mujibu wa taratibu mgombea anatakiwa kumaliza mkutano saa 12 kamili lkn taratibu ziliendelea kukanyagwa kanyagwa.

Wakati huo huo mpambe na mpiga debe wa CCM msanii Wema Sepetu amekutana na aibu alipoingia kwenye mgahawa uliipo mjini aliposema CCM oyee watu wote walikaa kimya. Alitamka mabadiliko watu wote kwa pamoja walimjibu Lowassa,baada ya kuzidiwa ndio aliposema eti huyo Lowassa mgonjwa. Kijana mmoja mpenda mabadiliko alimjibu hata raisi kikwete ni mgonjwa ndo maana alikwenda Marekani kufanyiwa operation ya tezi dume. Alipokutana na ugumu huo aliamua kuondoka zake huku akiwa hana la kusema.
CCM wanaamini Tanga ni ngome yao lkn hali imebadilika Tanga ya leo si ile ya 1995.
 
Pelekeni malalamiko yenu NEC, huko ndipo watakaochukua hatua kwa huyo mama hapa JF unajisumbua tu, au mwanasheria wenu Tobo Lisu hajawaambia?
 
Wema hajitambui, yeye ndiyo mgonjwa ila anawashangaa na kuwapakazia wenye afya nzuri huku akijisahau yeye mwenyewe. CCM wana haramu kweli, wanamtumia na kumchezea bila mwenyewe kujijuwa mwisho wa siku wanamnywesha sumu apotee duniani kama Mze Mwakyembe.
 
wema anapigana mapadlock aingie ikulu(jambo ambalo haliwezekani) ile yeye ateuliwe mbunge
 
Katika hali ya kushangaza mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM mama Samia Suluhu Hassan leo amechelewa kumaliza mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Usagara jijini Tanga.mama Samia alichelewa kufika mkutanoni,a lifika saa 12 kasoro na kuanza kuhutubia saa 12 kamili na kumaliza saa 12 na dakika 40.kwa mujibu wa taratibu mgombea anatakiwa kumaliza mkutano saa 12 kamili lkn taratibu ziliendelea kukanyagwa kanyagwa.

Wakati huo huo mpambe na mpiga debe wa CCM msanii Wema Sepetu amekutana na aibu alipoingia kwenye mgahawa uliipo mjini aliposema CCM oyee watu wote walikaa kimya. Alitamka mabadiliko watu wote kwa pamoja walimjibu Lowassa,baada ya kuzidiwa ndio aliposema eti huyo Lowassa mgonjwa. Kijana mmoja mpenda mabadiliko alimjibu hata raisi kikwete ni mgonjwa ndo maana alikwenda Marekani kufanyiwa operation ya tezi dume. Alipokutana na ugumu huo aliamua kuondoka zake huku akiwa hana la kusema.
CCM wanaamini Tanga ni ngome yao lkn hali imebadilika Tanga ya leo si ile ya 1995.
Uwanja mkubwa wa jijini Tanga wa shule ya Usagara,ulifurika watu,na uwanja ulipendeza kwa rangi za kijani na manjano,nimeamini kweli CCM,inapendwa.Watu walikuwa wengi sana.
 
mitaani watu individually hawashawishi kuipigia kura ccm wanaona fedheha kuitaja kuitangaza ccm .
ccm haina mtetezi zaidi viongozi walioko madarakani
 
Uwanja mkubwa wa jijini Tanga wa shule ya Usagara,ulifurika watu,na uwanja ulipendeza kwa rangi za kijani na manjano,nimeamini kweli CCM,inapendwa.Watu walikuwa wengi sana.

Tanga ya mwaka 2015 ni ya cuf ccm mnajidanganya.
 
Huyu mama anaendelea kumwaga ahadi kama hana akili nzuri,yaani Mkwere nyuma
 
Pelekeni malalamiko yenu NEC, huko ndipo watakaochukua hatua kwa huyo mama hapa JF unajisumbua tu, au mwanasheria wenu Tobo Lisu hajawaambia?

Malalamiko yangu nitayapeleka kwenye sanduku la kura october 25 Shaka ondoa na ndio itakuwa mwisho hiyo jeuri
 
Pelekeni malalamiko yenu NEC, huko ndipo watakaochukua hatua kwa huyo mama hapa JF unajisumbua tu, au mwanasheria wenu Tobo Lisu hajawaambia?

Wapeleke mara ngapi, maccm yashapaniki na kichapo cha mwamba wa kaskazini....hata wakeshe ccm wakipiga kampeni tushaamua Edo atosha mwingine nani?
 
Katika hali ya kushangaza mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM mama Samia Suluhu Hassan leo amechelewa kumaliza mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Usagara jijini Tanga.mama Samia alichelewa kufika mkutanoni,a lifika saa 12 kasoro na kuanza kuhutubia saa 12 kamili na kumaliza saa 12 na dakika 40.kwa mujibu wa taratibu mgombea anatakiwa kumaliza mkutano saa 12 kamili lkn taratibu ziliendelea kukanyagwa kanyagwa.

Wakati huo huo mpambe na mpiga debe wa CCM msanii Wema Sepetu amekutana na aibu alipoingia kwenye mgahawa uliipo mjini aliposema CCM oyee watu wote walikaa kimya. Alitamka mabadiliko watu wote kwa pamoja walimjibu Lowassa,baada ya kuzidiwa ndio aliposema eti huyo Lowassa mgonjwa. Kijana mmoja mpenda mabadiliko alimjibu hata raisi kikwete ni mgonjwa ndo maana alikwenda Marekani kufanyiwa operation ya tezi dume. Alipokutana na ugumu huo aliamua kuondoka zake huku akiwa hana la kusema.
CCM wanaamini Tanga ni ngome yao lkn hali imebadilika Tanga ya leo si ile ya 1995.

Leo saa nne asubuhi ndo tutajua mbivu na mbichi. Front runner tutamjua.

Arakini, dalili zinaonyesha tu, unapos0mba watu kuja kwenye kampeni za mgombea wako, huitaji PHD kujua wananchi wana hisisa gani juu yako...

Haya twende kazi...
 
Uwanja mkubwa wa jijini Tanga wa shule ya Usagara,ulifurika watu,na uwanja ulipendeza kwa rangi za kijani na manjano,nimeamini kweli CCM,inapendwa.Watu walikuwa wengi sana.

Kwa kuwa mliwasomba kutoka mawilayani na hata Kenya lazima wawe wengi.
 
Back
Top Bottom