Mgombea mwenza kurejea CUF

Mtakimbia nchi kabla ya hiyo tarehe

whatever it takes damu yangu imefungamana na nchi yangu,sitakimbia nchi yangu kama watu wa nchi nyingine wanaona nchi yetu ndo kimbilio lao,that means outside their its worse than here,if i know that,why would i even bother to run my country?
 
Kujitambua ni muhimu sana katika kuchagua viongozi stahiki kwa Taifa letu. Magufuli ndiye haswa.
 
Hii mkuu ni kweli kabisa kwani hata kampeni siku hizi kapunguza kama sio kuacha kabisa. Amegundua kuwa kaingizwa chaka.
 
Timu Propaganda huku sasa in KUFILISIKA KISIASSA
Tuliwambia Lowassa atakatwa ccm mkasema tunajisumbua na tumefilisika. Alikatwa hakukatwa? Sasa na Juma Haji Duni ndo anaaga hivyooo. Chadema mlie tu kwa maana ndio wenye vieleele. Mmepgwaa na Gwajima wenu.
 
Sijui ni siasa gani hizi.Hata hivyo hela za watu alizopewa Bil.50 atarejesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…