Mgombea mwenza huyu majanga

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,604
3,753
Huyu mama samia wa ccm nimemfatilia kwa muda sasa,hivi anajua anachokifanya???masikini hana ushawishi kabisa wa kisiasa!na kila anakokwenda anapewa karatasi ya kusoma na kuelezea wakati anahutubia!kwa hali hii atakua na kumbukumbu ya matatizo ya watz kweli?ni afadhali kuliko tupoteze muda Ni heri watoe photocopy ya karatasi anayosoma tukasomee nyumbani.angalia isije siku moja akaleta list ya vitunguu nyanya carrot akidhani anaenda kumpikia mzee wake.asante kikwete kwa kuipeleka ccm kuzimu na kuizika kabisa.
 
Jana wakati yuko ilala nimemsikia anasema serikali ya awamu ya tano imetenga 10 billion kwa ajili ya wafanya biashara wadowadogo, sasa sijui serikali ya awamu ya tano imekaa lini na kutenga hiyo fungu.
Na asema seriklai ya awamu ya 5 imefungua dawati la bodaboda na bajaji, sasa sijui kwa mtazamo wake serikali ya awamu ya tano imeshaingia madarakani????
 
Duh..kama ni kweli basi ni majanga???
 
Jana wakati yuko ilala nimemsikia anasema serikali ya awamu ya tano imetenga 10 billion kwa ajili ya wafanya biashara wadowadogo, sasa sijui serikali ya awamu ya tano imekaa lini na kutenga hiyo fungu.
Na asema seriklai ya awamu ya 5 imefungua dawati la bodaboda na bajaji, sasa sijui kwa mtazamo wake serikali ya awamu ya tano imeshaingia madarakani????

Masikini ajiandae kuwa mpinzani
 
Kila Kona Wagombe wa CCM Ukilinganisha Na UKAWA Utagundua SiSiem Wameumia.

Kwenye Nafasi ya Urais wa JMT;

CHADEMA/UKAWA=Chama Makini = Sera za Uhakika= Watanzania Wapo Tayari Kwa Mabadiriko.

CCM=Mtambo wa Kuzalisha Ufsadi= Ni Sawa Na CHOO by Dr.Slaa, Watanzania Hawapo Tayari Kuwachagua.
 
Kwani hao malofa wanayoayo ahidi wamekaa lini na lini wametenga au pesa za fisadi lowasa aloiba ndo zitatumika?
 
Nyie malofa kwa ujinga wenu mnajua lowasa akiingia tu atawagaiya pesa kwavile kaiba sna serikalini nahvo mkiskia fisadi lowasa tajiri mnazidi kuchanganyikiwa hahahahahah kweli malofa ni malofa tuu
 
Huyu mama samia wa ccm nimemfatilia kwa muda sasa,hivi anajua anachokifanya???masikini hana ushawishi kabisa wa kisiasa!na kila anakokwenda anapewa karatasi ya kusoma na kuelezea wakati anahutubia!kwa hali hii atakua na kumbukumbu ya matatizo ya watz kweli?ni afadhali kuliko tupoteze muda Ni heri watoe photocopy ya karatasi anayosoma tukasomee nyumbani.angalia isije siku moja akaleta list ya vitunguu nyanya carrot akidhani anaenda kumpikia mzee wake.asante kikwete kwa kuipeleka ccm kuzimu na kuizika kabisa.
Fisadi lowasa hata kusoma shida hata kusimama jukwaani kwa mda wa kutosha huyo fisadi Lowasa hawezi anaweza kumfikia mama samia.
 
Huyo na Sitta ndio waliongoza kuisigina katiba ya wananchi, tena mpaka marehemu walipiga kura
Kwani katiba inaleta ugari au kiroba cha mchele mafisadi kama Lowasa wanavunja katiba hata iwe nzuri kiasi gani.
 
Fisadi lowasa hata kusoma shida hata kusimama jukwaani kwa mda wa kutosha huyo fisadi Lowasa hawezi anaweza kumfikia mama samia.

Kwahiyo lowasa alikua fisadi peke yake ndani ya ccm?escrow na EPA alikuwepo???waliobaki ccm Ni watakatifu?
 
Kwani katiba inaleta ugari au kiroba cha mchele mafisadi kama Lowasa wanavunja katiba hata iwe nzuri kiasi gani.

Mwaka huu tutajua tu.tutamchagua hata kama Ni fisadi.mchukueni padri mzinzi tuone kama atawaokoa
 
Nyie malofa kwa ujinga wenu mnajua lowasa akiingia tu atawagaiya pesa kwavile kaiba sna serikalini nahvo mkiskia fisadi lowasa tajiri mnazidi kuchanganyikiwa hahahahahah kweli malofa ni malofa tuu

Ni heri lowasa aibe pesa atupe elimu kuliko ccm imepora vyote na kutufanya mazezeta
 
Huyu mama samia wa ccm nimemfatilia kwa muda sasa,hivi anajua anachokifanya???masikini hana ushawishi kabisa wa kisiasa!na kila anakokwenda anapewa karatasi ya kusoma na kuelezea wakati anahutubia!kwa hali hii atakua na kumbukumbu ya matatizo ya watz kweli?ni afadhali kuliko tupoteze muda Ni heri watoe photocopy ya karatasi anayosoma tukasomee nyumbani.angalia isije siku moja akaleta list ya vitunguu nyanya carrot akidhani anaenda kumpikia mzee wake.asante kikwete kwa kuipeleka ccm kuzimu na kuizika kabisa.

vipi na yule mgombea anayewaambia mkasome sera kwenye webusaiti?
 
Huyo mgombea mwenza wa UKAWA ndo shida kubwa sera yake moja kila aendako ni panya road tu
 
Jana wakati yuko ilala nimemsikia anasema serikali ya awamu ya tano imetenga 10 billion kwa ajili ya wafanya biashara wadowadogo, sasa sijui serikali ya awamu ya tano imekaa lini na kutenga hiyo fungu.
Na asema seriklai ya awamu ya 5 imefungua dawati la bodaboda na bajaji, sasa sijui kwa mtazamo wake serikali ya awamu ya tano imeshaingia madarakani????

kama ni kweli basi hakuna mtu hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom