R reina Member Joined Aug 11, 2011 Posts 52 Reaction score 8 Apr 17, 2012 #1 mwanamama mmoja mgombea wa ubunge katika bunge la jumuia ya Africa Mashariki amejitoa dakika za mwisho katika kinyanganyiro hicho kwa kile kinachoonekana kuwa ni kushindwa kujieleza kwa lugha ya kiingereza....more info later
mwanamama mmoja mgombea wa ubunge katika bunge la jumuia ya Africa Mashariki amejitoa dakika za mwisho katika kinyanganyiro hicho kwa kile kinachoonekana kuwa ni kushindwa kujieleza kwa lugha ya kiingereza....more info later
eddo JF-Expert Member Joined Mar 16, 2010 Posts 290 Reaction score 36 Apr 17, 2012 #2 mama kajitaidi kujikanyaga lakn wapi?
R reina Member Joined Aug 11, 2011 Posts 52 Reaction score 8 Apr 17, 2012 Thread starter #3 emejikanyaga na kuvunja vidole utafikiri anapigwa sound lakini ngeli zikagoma.duh bora kajitoa tu angetuaibisha
emejikanyaga na kuvunja vidole utafikiri anapigwa sound lakini ngeli zikagoma.duh bora kajitoa tu angetuaibisha