mgogoro wa kukosa mtoto wa kiume

mgogoro wa kukosa mtoto wa kiume

lemigiusleopord

New Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
2
Reaction score
0
ndg zang na2maini wazma w afya.Naomba 2changiane mawazo coz,wanandoa weng wanaachana juu ilotatzo.Wanabailojia wa2pe maoni nan alaumiwe kama cyo mwanaume.?
 
Kibiolojia,mwanaume ndie anayeleta mtoto Wa kiume,kwani yeye ndiye mwenye Y chromosome ambayo ikikutana na X chromosome basi mtoto huwa Wa kiume.bahati mbaya sometimes njia ya uke ya mwanamke huwa inatoa changamoto Sana kwa mbegu hizi za kiume ambapo husababisha kufia njiani.mbegu za kiume ziko za aina mbili X na Y.zile za X ni jasiri zaidi kuliko zile za Y.
 
mwanaume ndio anadetermine jinsia ya mtoto
  • x sperm - slow, last longer, female
  • y sperm - fast, shorter lifespan, male
 
Tatizo ni kukosa shukrani tu kwa Muumba. Wewe unamnyanyasa mkeo mpaka anaenda kutafuta nje. Kisa mtoto wa kiume. Mbona wapo wanaokaa bila nguo miezi wakitafuta mimba tu ishike itoke ahesabiwe kuwa alishika ikaharibika?? Jamani acheni ujinga. Umepata mtoto shukuru Mungu kwanza. Mtoto aliye bora ni yule unayeweza kumpa mahitaji yake vyema pamoja na elimu bora siyo bora elimu. Akukumbuke ukiwa mzee, hii ndiyo bank yangu ya uzeeni. Wakiume ni wa nini kama sina uwezo wa kumtunza vizuri?
 
How Sex Selection Works
Each parent contributes half of a baby's genetic
make up. The female or mother is genetically an
XX, so she is only able to contribute an X to the
future baby. The father of the baby is XY and can
contribute either an X or a Y. This means that
sperm is the deciding factor in how your baby's
sex is determined.
Over 200 million sperm are ejaculated into the
vagina during intercourse, a mixture of X and Y.
Most likely only one will be the one to penetrate
the ovum.
Shettles Method
Dr. Landrum Shettles is known for his popular
book on how to use low tech
ways to conceive a baby of a particular sex, but
particularly baby girls. Though the method can
be used for a girl or a boy. The theory behind this
method for having a baby boy is that Y bearing
sperm are faster but die more quickly. This means
that by the time the egg is released you should
have no sperm near the egg and quickly have
intercourse to have the biggest concentration of Y
bearing sperm. The basics are as follows:
First you must know your menstrual cycle and
chart it using your basal body temperature (BBT)
charts.
Once you have done this for a few months you
can more accurately pinpoint ovulation.
Men should avoid ejaculation for 4-5 days before
ovulation.
Your goal would be to time sexual intercourse
about 12 hours prior to ovulation, based on your
basal body temperatures, or other methods.
Use positions to place the sperm as close to the
cervix as possible, including rear entry positions.
Females should have an orgasm to help move the
sperm towards the egg.

The Boy Diet
There are some who say that what you eat will
determine whether your baby is a girl or a boy.
Here are some foods to stock in your pantry if
you're trying to have a baby boy:
Meat, particularly red meat
Salty snacks, like chips
Caffeine

Other Helpful Boy Hints:
Wear boxers to cool the temperature of the
scrotum. (This is typically seen as a generic
fertility tip.)
Man has an orgasm first.
Only have marital relations on the odd days of the
month to have a baby girl.
Man initiates sexual relations.
Man on top or dominate positions. (Sitting or
laying.)
Have sex standing up.
Use the Chinese Gender Chart to help you decide
when to conceive.
Have sex at night.
Avoid sex during the full phase of the moon as
well as the new moon, aim for a quarter moon.
 
Umekosea kuweka kwenye jukwaa hili. Hapa hutopata michango mingi!

ndg zang na2maini wazma w afya.Naomba 2changiane mawazo coz,wanandoa weng wanaachana juu ilotatzo.Wanabailojia wa2pe maoni nan alaumiwe kama cyo mwanaume.?
 
Pole jaribu kuuliza sehemu za upandikizaji ivf but mtoto hutoka kwa Mungu
 
Tumia Chinese chart it works 95% mimi nimeifanyia utajiona for 7 years it works kama vipi ni pa nikupe maelezo
 
Back
Top Bottom