Gesi Kwanza
Member
- Feb 16, 2013
- 14
- 1
Ni aibu kama Watanzania wanadai haki zao za kidini kwa kuchinja,miaka yote hiyo iliyopita mlikuwa hamjaona tu hizo aya zinazoharamisha kula nyama iliyochinjwa na wasiokuwa dini zenu? Vyama vinaingiaje hapa ktk suala la dini? Au mnataka kutuaminisha kuwa siasa za nchi hii zinataka kuendeshwa kwa matabaka ya kidini kama wenzetu Kenya walivyoamua kujikita na ukabila? SIASA ZETU ZINATIA KICHEFUCHEFU.Basi tuamini kumbe suala hili limepangwa nyuma ya pazia kuna zimwi la siasa limejificha.