Mgogoro wa Burundi unaelekea kule kule kwa Rwanda

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013
Huu mgogoro wa kipuuzi unaanza kuelekea pabaya. Ni muhimu EAC ikafanya haraka zaidi kuliko inavyofanya sasa. Ni rahisi mno kwa mgogoro kutoka kwenye siasa na kuingia kwenye ukabila. Mazingira ya Burundi yako fragile. Wananchi majority ni wahutu, watutsi ni minorities.

Serikali kwa kiasi kikubwa inaendeshwa na wahutu, lakini jeshi la burundi majority ni watutsi na wameshatoa tamko kuwa hawatakubali kuvunja katiba, ila tafsiri yao ya katiba hawajasema, sasa Nkurunzinza naye anadai yuko sahihi kikatiba, wanamaanisha hiyo hiyo ya Nkurunzinza au vipi? Watutsi wameanza kukimbilia Rwanda kutokana na vurugu za Imbonerakure, kikundi cha vijana wa chama tawala ambao wanafanya fujo dhidi ya wapinzani wa Nkurunzinza.

Ingawa hawalengi wapinzani watutsi pekee, kumbukumbu za Rwanda zinaonyesha hata Interahamwe nao walianza kisiasa vile vile. Endapo litatokea jambo kubwa dhidi ya kigogo wa kihutu mfano kama ilivyotunguliwa ndege ya Habyarimana, haitakuwa ngumu kwa hawa Imbonerakure kugeuka kuwa genociders kama Interahamwe walivyotoka kwenye siasa na kuingia genocide kule Rwanda.
Wahutu nao wanaogopa jeshi la Burundi na kiasi kidogo Imbonerakure, wanakimbilia Tanzania. Kila vurugu zikianza jeshi la burundi ambalo majority ni watutsi humalizia hasira zao kwao. Na wao wameona kabla shughuli haijawa kubwa bora waondoke mapema.

Kabla ukabila haujazidi siasa ni muhimu EAC kufanya haraka yafuatayo:

1. Kwanza wakati mazungumzo yanaendelea wazuie vikundi vya vijana kama Imbonerakure. Hawa vijana wasiachiwe kufanya shughuli zao whatever those are kwa muda huu.

2. Maongezi kati ya CNDD-FDD (chama kikuu cha wahutu na chama tawala) na UPRONA (chama kikuu cha watutsi) yawepo ili kuleta amani.

3. EAC ikusanye CNDD-FDD (chama kikuu cha wahutu na chama tawala) na UPRONA (chama kikuu cha watutsi), halafu iamue tafsiri sahihi ya mwisho ya katiba ya Burundi kuhusu Nkurunzinza ni ipi, na isimamie hapo. Kama ni against Nkurunzinza na Nkurunzinza ataleta jeuri, basi Burundi ipigwe sanctions kama wakati ule, kama ni for Nkurunzinza then mchawi anayechochea aumbuliwe. Hakuna haja ya maandamano kwa mtu yoyote asiyemtaka Nkurunzinza ili hali sio mwanachama wa CNDD-FDD. Kama uchaguzi uliopita ulikuwa huru na haki na ulitambulika kimataifa, kwa nini kuwe na wasiwasi wa kupiga kura dhidi ya Nkurunzinza? Wasiomtaka waende kwenye sanduku la kura! Kinachoonekana ni njama za makusudi za kuchochea itokee 'genocide' halafu jeshi lipindue kama linavyopinduaga kila siku, CNDD-FDD warudi tena msituni kama waasi halafu ngoma ianze moja...
 
Title na contents haviendani kabisa;
Mgogoro wa Burundi has nothing to do with Ukabila ila as usual baadhi wanataka kuingiza ukabila ili kutafuta sympathy ya majority.
Ukiangalia idadi ya waandamanaji, ukiangalia wakimbizi wanaokimbia iwe wale wanaokimbilia Rwanda au Tanzania utakuta makabila yote yamo ndani.
Kumbuka watu kama Agatho Rwasa wana ushawishi mkubwa harafu hawaelewani na Nkurunziza.
tatizo ni kwamba Katiba inakuwa interpreted differently na pande zinazo husika.
 
Title na contents haviendani kabisa; Mgogoro wa Burundi has nothing to do with Ukabila ila as usual baadhi wanataka kuingiza ukabila ili kutafuta sympathy ya majority. Ukiangalia idadi ya waandamanaji, ukiangalia wakimbizi wanaokimbia iwe wale wanaokimbilia Rwanda au Tanzania utakuta makabila yote yamo ndani. Kumbuka watu kama Agatho Rwasa wana ushawishi mkubwa harafu hawaelewani na Nkurunziza. tatizo ni kwamba Katiba inakuwa interpreted differently na pande zinazo husika.
Tunakubaliana kuwa kwa sasa ukabila sio sababu, ila naongelea hatari/potential ya mgogoro kugeuka kuwa wa kikabila. mfano ingawa Imbonerakure kwa sasa inalenga wapinzani wote wa Nkurunzinza wawe wahutu au watusi, je unaweza kusema kuna Imbonerakure wangapi ni watutsi? Hata interahamwe pia ilitarget baadhi ya wahutu but it didn't take long ku concentrate on the tutsis alone.
 
Hahah nilitaka kukushangaa mwanzoni umejifanya neutral eti"EAC ikusanye Chama kikuu cha wahutu na watusi iamue tafsiri ya katiba" afu mwishoni unasema "hakuna haja ya watu kuandamana kumpinga nkurunzinza bali watakamkataa kwenye sanduku la kura", hahah pro nkurunzinza kazi unayo ni either katiba ifutwe au waanze kuingia maporini kama wale wenzao wa congo
 
Huu mgogoro wa kipuuzi unaanza kuelekea pabaya. Ni muhimu EAC ikafanya haraka zaidi kuliko inavyofanya sasa. Ni rahisi mno kwa mgogoro kutoka kwenye siasa na kuingia kwenye ukabila. Mazingira ya Burundi yako fragile. Wananchi majority ni wahutu, watutsi ni minorities.

Serikali kwa kiasi kikubwa inaendeshwa na wahutu, lakini jeshi la burundi majority ni watutsi na wameshatoa tamko kuwa hawatakubali kuvunja katiba, ila tafsiri yao ya katiba hawajasema, sasa Nkurunzinza naye anadai yuko sahihi kikatiba, wanamaanisha hiyo hiyo ya Nkurunzinza au vipi? Watutsi wameanza kukimbilia Rwanda kutokana na vurugu za Imbonerakure, kikundi cha vijana wa chama tawala ambao wanafanya fujo dhidi ya wapinzani wa Nkurunzinza.

Ingawa hawalengi wapinzani watutsi pekee, kumbukumbu za Rwanda zinaonyesha hata Interahamwe nao walianza kisiasa vile vile. Endapo litatokea jambo kubwa dhidi ya kigogo wa kihutu mfano kama ilivyotunguliwa ndege ya Habyarimana, haitakuwa ngumu kwa hawa Imbonerakure kugeuka kuwa genociders kama Interahamwe walivyotoka kwenye siasa na kuingia genocide kule Rwanda.
Wahutu nao wanaogopa jeshi la Burundi na kiasi kidogo Imbonerakure, wanakimbilia Tanzania. Kila vurugu zikianza jeshi la burundi ambalo majority ni watutsi humalizia hasira zao kwao. Na wao wameona kabla shughuli haijawa kubwa bora waondoke mapema.

Kabla ukabila haujazidi siasa ni muhimu EAC kufanya haraka yafuatayo:

1. Kwanza wakati mazungumzo yanaendelea wazuie vikundi vya vijana kama Imbonerakure. Hawa vijana wasiachiwe kufanya shughuli zao whatever those are kwa muda huu.

2. Maongezi kati ya CNDD-FDD (chama kikuu cha wahutu na chama tawala) na UPRONA (chama kikuu cha watutsi) yawepo ili kuleta amani.

3. EAC ikusanye CNDD-FDD (chama kikuu cha wahutu na chama tawala) na UPRONA (chama kikuu cha watutsi), halafu iamue tafsiri sahihi ya mwisho ya katiba ya Burundi kuhusu Nkurunzinza ni ipi, na isimamie hapo. Kama ni against Nkurunzinza na Nkurunzinza ataleta jeuri, basi Burundi ipigwe sanctions kama wakati ule, kama ni for Nkurunzinza then mchawi anayechochea aumbuliwe. Hakuna haja ya maandamano kwa mtu yoyote asiyemtaka Nkurunzinza ili hali sio mwanachama wa CNDD-FDD. Kama uchaguzi uliopita ulikuwa huru na haki na ulitambulika kimataifa, kwa nini kuwe na wasiwasi wa kupiga kura dhidi ya Nkurunzinza? Wasiomtaka waende kwenye sanduku la kura! Kinachoonekana ni njama za makusudi za kuchochea itokee 'genocide' halafu jeshi lipindue kama linavyopinduaga kila siku, CNDD-FDD warudi tena msituni kama waasi halafu ngoma ianze moja...

Sasa huyu nkuruzinza kwanini hasilichanganye jeshi liwe sawa? yaani wahutu na watusi wawe sawa kwa sawa?
 
Tunakubaliana kuwa kwa sasa ukabila sio sababu, ila naongelea hatari/potential ya mgogoro kugeuka kuwa wa kikabila. mfano ingawa Imbonerakure kwa sasa inalenga wapinzani wote wa Nkurunzinza wawe wahutu au watusi, je unaweza kusema kuna Imbonerakure wangapi ni watutsi? Hata interahamwe pia ilitarget baadhi ya wahutu but it didn't take long ku concentrate on the tutsis alone.
ngojea kidogo! leo Raisi Nkurunzinza. P atakuwa Dar ningeomba mumuulize wahutu au watutsi ni wangapi ndani ya imbonerakure! lakini ninavyojuwa ni kwamba hakuna watutsi ndani ya Imbonerakure simply because they were trained by FDRL in DRC na jinsi wanvyopenda damu ya watutsi basi wangewamalizia kulekule kwani FDLR wakikunusa tu wakakuta we ni mtutsi basi umekwisha!!! nakuhakikishia hata mafunzo wangesitisha
 
Hahah nilitaka kukushangaa mwanzoni umejifanya neutral eti"EAC ikusanye Chama kikuu cha wahutu na watusi iamue tafsiri ya katiba" afu mwishoni unasema "hakuna haja ya watu kuandamana kumpinga nkurunzinza bali watakamkataa kwenye sanduku la kura", hahah pro nkurunzinza kazi unayo ni either katiba ifutwe au waanze kuingia maporini kama wale wenzao wa congo

Mbona hueleweki? point yako nini sasa?
 
Sasa huyu nkuruzinza kwanini hasilichanganye jeshi liwe sawa? yaani wahutu na watusi wawe sawa kwa sawa?

mchanganyiko upo kidogo lakini kumbuka vile vile mambo mengi yanaendeshwa kwa quotas za mkataba wa Arusha. Sijajua mahesabu yake yanakwendaje, lakini for now jeshi bado watutsi wamezidi considering their total population. wakiamua kulianzisha wanaweza.
 
kama hivi? ‏@ReutersAfrica Senior #Burundi army officer says dismisses President Nkurunziza, tells reporters he speaks on behalf of senior army and police officers !! naona jamaa abaki huko huko, wanaume washaamuwa! maana leo hii Buja mshikemshike tangu asubuhi mpaka police wenyewe mikono juu
 
wiitness says soldiers surround state broadcaster building in centre of capital cc: jMali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom