Mgogoro mkubwa wa ardhi Chalinze

mbavu nene

Senior Member
Nov 17, 2012
102
85
Ndugu wanajamvi,

Kuna mgogoro mkubwa unafukuta Chalinze kuna mradi wa UTT unaendelea lakini sehemu kubwa ya mradi huo unachukua maeneo ya watu bila idhini ya wenye maeneo na kuna bwana mmoja aliyekuwa diwani anayeusimamia mradi huo akitumia ubabe kupora maeneo ya wananchi akidai ana eneo la heka 300.

Hili ni jipu tunaomba waziri Lukuvi wahi kabla maafa hayajatokea.
 
Last edited by a moderator:
Sisi tulifikiri ni kama mvomero,pisheni mradi wa maendeleo.Chalinze hakuna mahali pa mifugo
 
Hakuna anayekataa maendeleo lakini watu wafanyiwe tathimini walipwe stahiki zao sio mtu mmoja dalali kudhulumu wananchi kwa kigezo cha maendeleo tukumbuke haki ya mtu huwa haipotei bure itaenda na mtu
 
Back
Top Bottom