Mgogoro mkubwa kuibuka CCM baada ya Okt 28, 2015

Mgogoro mkubwa kuibuka CCM baada ya Okt 28, 2015

Hahaa,mtasema sana na mtajivika Unape mwaka huu lakini Chadema ikulu hamuwezi kuiona jiandaeni tu kisaikolojia kukubali matokeo lakini ndoto za kumshinda magufuli haiwezekani.

Huyu mbowe awarogolowe Hawa vijana vioja hahaha
 
Kwenye siasa huwezi kuwa na uhakika kiasi hicho.

Je ni nini hatma ya Lowassa CDM endapo atashindwa kwenye uchaguzi? Ataendelea kupigania demokrasia akiwa mwanachama "active" wa CDM?

Kwa upande wa hoja yako ni kwamba uchaguzi wa viongozi wa CCM ni mwaka 2017. Maana yake ni kwamba endapo Magufuli atashindwa kupata urais, watakuwa na miaka miwili ya kutafakari na kujua la kufanya wakati wa kuchagua mwenyekiti mpya mwaka 2017!

Richa ya hivyo hawezi kushindwa Na limdoli
 
Kazi ya utabiri unaanza kujifynza sio!? Utavuliwa nguo wewe! Hiyo ni shughuli ndogo tu vua nguo tukufundishe.[/QUOTE mbona jazba mkuu nyinyi subilini kupigana na wengine kwenda kuungana na gbagbo icc
 
Wewe unalaana na aliekuachia laana alichukuliwa na Tsunami ya CCM ndio kunakokufanya uandike ambacho hata Hujui nini umeandika. hayo ni ndani ya UKAWA
kwani ukawa ni chama? ukawa ni muungano tu wa vyama si chama na kila chama kina mwenyekiti wake tatizo ni ccm watakubali kumpa huyu alinserema ambae ajawah kuwa hata mjumbe wa shina la ccm ??????
 
Wimbo Wa Lowassa Unaimbwa Nje ya ccm Na Ndani ya ccm. Asikwambie Mtu Kuna Baathi Ya Wagombea Nafasi za Ubunge na Udiwani.

Wanasema wazi wazi Udiwani. ubunge nipe Mimi Urais Mpe Lowassa Hii Nimeishuudia Kwa Macho Yangu Na Masikio Yangu.

kwa iyo Magufuli Asifuraie watu kujaa katika mikutano yake. Pale wapo kimwilitu kiroho wapa UKAWA.

Kama mnabisha mtapoteana kwenye sanduku la kura, hamta hamini macho yenu, kitakua ni kilio kikuu sana pale lumumba.
 
Halafu Ccm walivyo kenge maji wanakuja na takwimu zao za twaweza eti Magufuli ana over 60 % wakati ndani ya Ccm tu peke yake Hana watu wanao mpa support kwa 60 % ,mwenyewe anajua kasema Bukoba ,watu mchana ni magamba ila Usiku ni makamanda
 
Hehehe...hii ilikuwa text kwa mchuchu ama?

Hahahaaa,baada ya uchaguzi kuisha inabidi tukukaribishe kwenye chama la wambea...
Umetisha sana,naona jamaa kakosea pm kaileta huku.
 
ni hivi , hiki chama kitakufa baada ya uchaguzi , kwahiyo hakutakuwa na mwenyekit wa tawi wala wa taifa .
 
Back
Top Bottom