izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,465
pamoja na chama cha mapinduzi kutumia nguvu kubwa ya kununua na kufanya Lobbying ni wazi kuwa chama kikongwe barani africa mwisho wake ni oct 28 baada ya jaji lubuva kutangaza matokeo mgogoro mkubwa utakuwa ni nani atakuwa mwenyekiti wa chama baada ya magufuli kushindwa vibaya uchaguzi wa mwaka huu kumekuwa na mazoea ya chama cha mapinduzi kuwa mwenyekiti wake ni rais wa nchi sasa ikitokea magufuli kushindwa kuwa rais je ccm wapo radhi kumwachia chama mr alinserema na bigwa wa kupiga push ups majukwaani aongoze chama ?
lipo kundi ndani ya ccm wanasema awawezi kumpa chama mtu ambae akijui chama kwani magufuli ajawah kuwa hata mjumbe wa shina la ccm inavyo onekana ndani ya chama kuna mgawanyiko wa ndani kwa ndani ambao utakuja kujitokeza baada ya oct 28 ccm kitakapo kuwa chama kikuu cha upinzani bungeni kwani magufuli mwenyewe anajua ya kuwa kuna watu ndani ya ccm mchana wanavaa kijani usiku wanafaa kombati sas tujiandae kushuhudia ngumi zikitokea mitaa ya lumumba na wengine wakiangaika na safari za kwenda mahakama ya kimataifa ICC kwa maana najua watajalibu kufanya kama alivyofanya mr gbagbo aliekuwa rais wa ivory coast ambae sasa yupo kwa fatou bensouda akisubili kunyoa