East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Nimesoma magazeti kuhusu inayohisiwa kuwa ripoti ya CAG kuhusu IPTL.Nilichokiona ni bla bla za kisiasa zaidi kuliko kisheria.Mfano imeandika kuwa Tanesco wali-overpay IPTL kwa bilioni 321.Mkataba wa kisheria upo uliosainiwa na kila upande kuwa utalipa hiki na hiki hiyo overpayment inatokeaje? Ina maana TANESCO walikiuka mkataba na ku-overpay?
Halafu kituko kingine eti wali-overpay kwa muda wa miaka 10 mfululizo kutoka 2002 hadi 2012.Yaani mwaka wa kwanza u-overpay,wa pili uoverpay,wa tatu u-overpay hadi ifike 10 ndio uje ugundue leo? Tanesco kwa nini hawakuchukua hatua yeyote wakaamua wawe wana-overpay mwaka hadi mwaka? Hadi ikafika 10?
Jambo moja serious kisheria ni nani aliyekuwa mkaguzi wa hesabu wa TANESCO kwa miaka hiyo yote 10? Si ni CAG huyu huyu au yuko mwingine?.Je kila mwaka alipokagua hakuona hilo tatizo? Ripoti zake za auditing ziko wapi? Je ameliona tatizo hilo la overpaynment mwaka huu baada ya shinikizo la wabunge?
Kama ni kweli CAG ndie alikuwa mkaguzi wa mahesabu ya TANESCO inabidi aburuzwe mahakamani pia kwa kutoa ripoti zisizo kweli za Tanesco miaka 10 mfululizo kuanzia 2002 hadi 2012.
Wewe umeshachoshwa na mumeo sasa unataka usingizie JF?Una utaalam wa kuijua hiyo ripoti ya CAG au unataka kutuchosha tu humu jf
Nimesoma magazeti kuhusu inayohisiwa kuwa ripoti ya CAG kuhusu IPTL.Nilichokiona ni bla bla za kisiasa zaidi kuliko kisheria.Mfano imeandika kuwa Tanesco wali-overpay IPTL kwa bilioni 321.Mkataba wa kisheria upo uliosainiwa na kila upande kuwa utalipa hiki na hiki hiyo overpayment inatokeaje? Ina maana TANESCO walikiuka mkataba na ku-overpay?
Halafu kituko kingine eti wali-overpay kwa muda wa miaka 10 mfululizo kutoka 2002 hadi 2012.Yaani mwaka wa kwanza u-overpay,wa pili uoverpay,wa tatu u-overpay hadi ifike 10 ndio uje ugundue leo? Tanesco kwa nini hawakuchukua hatua yeyote wakaamua wawe wana-overpay mwaka hadi mwaka? Hadi ikafika 10?
Jambo moja serious kisheria ni nani aliyekuwa mkaguzi wa hesabu wa TANESCO kwa miaka hiyo yote 10? Si ni CAG huyu huyu au yuko mwingine?.Je kila mwaka alipokagua hakuona hilo tatizo? Ripoti zake za auditing ziko wapi? Je ameliona tatizo hilo la overpaynment mwaka huu baada ya shinikizo la wabunge?
Kama ni kweli CAG ndie alikuwa mkaguzi wa mahesabu ya TANESCO inabidi aburuzwe mahakamani pia kwa kutoa ripoti zisizo kweli za Tanesco miaka 10 mfululizo kuanzia 2002 hadi 2012.
Naona unajiharishia baada ya Pinda kutangaza kugombea Urais 2015Pinda must Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Tatizo la Maliberari mnafikiri kinachoweza kuwachosha ni ngono tu, wewe nani anayekuchosha?Wewe umeshachoshwa na mumeo sasa unataka usingizie JF?
Mkuu, ripoti ya TWAWEZA imewatengezea matumbo ya kuhara hawa UKAWA, mpaka 2015 watakuwa mahututiNaona unajiharishia baada ya Pinda kutangaza kugombea Urais 2015
Pinda must Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
akatafute dawa za kuongeza ammu ya mapenzi ili mme wake azidi kumpenda na sio kusingizia jfWewe umeshachoshwa na mumeo sasa unataka usingizie JF?
hao ndio timu lowassa huwa hawanaga hoja ata kidogoPinda hahusiki hapa msitake kuanza kutafuta mercy kwa fisadi papa wenu Lowasa.....mnataka cheap campaigns eti mbona na pinda alijiuzulu
Una utaalam wa kuijua hiyo ripoti ya CAG au unataka kutuchosha tu humu jf
hao ndio timu lowassa huwa hawanaga hoja ata kidogo
Mkuu, ripoti ya TWAWEZA imewatengezea matumbo ya kuhara hawa UKAWA, mpaka 2015 watakuwa mahututi