Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
kwani dr. Slaa yuko juu ya kamati kuu.. Kalale usingizi wewe.
Ndo kakutuma kuja kutukana watu hapa!?Toa ujinga hapa.
Mkuu Dr.Slaa hana akili ndogo kiasi hicho hadi aanze kuitisha ma-press conference na kutoa matamko kama yule kichaa wa Mwandiga, Dr.Slaa siyo msawahili hadi aanze kujibashana na waimba tarabu wa Mwandiga morden Taarab, Siyo hadi ya Dr.slaa kujibishana na mbweha amabao wamepoteza muelekeo kisiasa na sasa wamebaki majina tu, ndio maana hata siku moja tangu tumeaanza kumjua Slaa ktk siasa za Tanganyika hajawi kubishana wala kujibishana na Mbweha wote kwenye media bali Dr.Slaa ni mtu wa principle na maadili.
Kwani Dr. Slaa yuko juu ya Kamati kuu.. kalale usingizi wewe.
Slaa ndio injinia wa kumhujumu Zitto,unategemea jipya gani kutoka kwake?
kutokana na mgogoro huu unaendelea chadema .....dk.slaa akiwa kama katibu mkuu wa chama....sijamwona katika kamati kuu...na vipi akiwa kama katibu ana kauli....ipi juu ya hili......
Amepotelea wapi dk.slaa.....