Mgogoro huu unaendelea chadema ivi yuko wapi dk.slaa akiwa kama katibu mkuu..ana kauli gani

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,179
3,539
kutokana na mgogoro huu unaendelea chadema .....dk.slaa akiwa kama katibu mkuu wa chama....sijamwona katika kamati kuu...na vipi akiwa kama katibu ana kauli....ipi juu ya hili......

Amepotelea wapi dk.slaa.....
 
Kwani Dr. Slaa yuko juu ya Kamati kuu.. kalale usingizi wewe.
 
Kitumbua chake zito kakimwagia mchanga,alihitaji KUTONYWA tu na zzk arudishe fedha kwenye saccoss yake
 
Mkuu Dr.Slaa hana akili ndogo kiasi hicho hadi aanze kuitisha ma-press conference na kutoa matamko kama yule kichaa wa Mwandiga, Dr.Slaa siyo msawahili hadi aanze kujibashana na waimba tarabu wa Mwandiga morden Taarab, Siyo hadi ya Dr.slaa kujibishana na mbweha amabao wamepoteza muelekeo kisiasa na sasa wamebaki majina tu, ndio maana hata siku moja tangu tumeaanza kumjua Slaa ktk siasa za Tanganyika hajawi kubishana wala kujibishana na Mbweha wote kwenye media bali Dr.Slaa ni mtu wa principle na maadili.
 
Kumbe kufanya press conference ni akili dogo?
Kwahiyo Lissu,Mbowe,Mnyika hawa ni akili ndogo.
Nasikia na leo wameita waandishi pale kinondoni.
 
kutokana na mgogoro huu unaendelea chadema .....dk.slaa akiwa kama katibu mkuu wa chama....sijamwona katika kamati kuu...na vipi akiwa kama katibu ana kauli....ipi juu ya hili......

Amepotelea wapi dk.slaa.....

kuna rekodi, documents, na kila aina ya ushahidi unaoonyesha slaa anahusika kuiangamiza chadema, na ndiye chief author wa saga lote la zito akisaidiwa na akina saa 8, lema na msigwa
 
Ndugu shardcole anasahau kuwa Slaa aliitisha press conference akishutumu masanduku ya kura yamekamatwa mbeya alafu baadae akasema alikua anaijaribu tume.

Nadhani tuache kujadili watu maana wote tuna matatizo yetu, tujadili issues. Je ni kwili kina Zito ni wasaliti? Usaliti wao ni upi? Je uasi au usaliti unajitokeza wakati wa uchaguzi wa ndani tu? Je mkakati wa mabadiliko tumeusoma? Je una malengo ya kuchafua chama au kuimarisha au kuleta mabadiliko chamani? Je kauli za viongozi ni za kibabe au kidemokrasia? Je kwanini Godbles Lema na Lisu walishinikiza mkakati uwekwe mtandaoni? Hawakujua madhara yake kwa watakaousoma vyema? Kwanini siyo mapinduzi ni usaliti? Je shutuma zilizo na zinazotolewa ni za kweli au uongo? Kuna kamati au tume huru ya kufuatilia kilichoitwa uzushi dhidi ya chama?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom