Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,710
Wafunge tu maana kodi zetu zinatumika vibaya
Yaelekea mgodi umefika mwisho wa uzalishaji.
Any comment?Duh! Haya bhana
Tumeshalikoroga tulinywe mkuuAny comment?
Kwani hiyo sio komentiAny comment?
Mkuu, habari za asubuhi? Mimi na yeye twafahamiana.Kwani hiyo sio komenti
Mungu ni mwema mkuu,Mkuu, habari za asubuhi? Mimi na yeye twafahamiana.
"Wauza" simple present in this context ndio lugha sahihi; hususan uandishi wa habari.Wauza au kuuza?
Mlikuwa mnafaidi huko?Tumeshalikoroga tulinywe mkuu
Mi sielewi Kwa nini serikali inakumbatia hao machokoraa wa ki China yaani siwapendi hadi basiWatapewa wachina
Hao wachina watatuibia hadi nyasi
Siwapend wachina wanyanyasaji sana
Waliingia kwa mikataba iliyosainiwa na mamlaka halali za nchi huru ya Tanzania. Tena mamlaka hizo zilisaini kwa kiburi na jeuri ya madaraka!hata wakiondoka poa walituibia sana wacha waende