Mgodi wa Buzwagi wauza Magari, mitambo n.k. kwa mnada Jumatatu 5 Machi

Mwanaukweli

JF-Expert Member
May 18, 2007
4,787
1,710




Yaelekea mgodi umefika mwisho wa uzalishaji.

Ili kushiriki mnada huu inabidi kurejista. Reg. fee ni Sh. 100,000/-. Zinalipwa Buzwagi penyewe, au TAN HOUSE, Victoria - ofisi za Acacia.

Deadline ya kurejista ni leo.

Kwa link hii unaweza kushiriki mnada online

Auction Catalogue - Slattery Auctions
 
  • Thanks
Reactions: Lee
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom