Amosy09 Member Joined May 30, 2018 Posts 34 Reaction score 177 Feb 27, 2019 #1 Breaking news: kunataarifa kutoka mkoani Simiyu zinadai Mgodi wa madini wa Gasuma umetitia na ndani kulikuwa na watu wakiendelea na uchimbaji hivyo kama una ndugu yako fanya kujua hali yake. Sent using Jamii Forums mobile app
Breaking news: kunataarifa kutoka mkoani Simiyu zinadai Mgodi wa madini wa Gasuma umetitia na ndani kulikuwa na watu wakiendelea na uchimbaji hivyo kama una ndugu yako fanya kujua hali yake. Sent using Jamii Forums mobile app
harder king JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,970 Reaction score 6,918 Feb 27, 2019 #2 Duh.MUNGU awanusuru Sent using Jamii Forums mobile app
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,573 Reaction score 74,396 Feb 27, 2019 #3 Pole Sana Kwa Wote
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,692 Feb 27, 2019 #4 Huu ni mwendelezo wa matukio ambayo hutokea tz mwaka 1 kabla ya uchaguz Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mwendelezo wa matukio ambayo hutokea tz mwaka 1 kabla ya uchaguz Sent using Jamii Forums mobile app
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,559 Reaction score 28,438 Feb 27, 2019 #5 God forbid Sent from my Iphone using Tapatalk
kongobelo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2012 Posts 372 Reaction score 496 Feb 27, 2019 #6 Pole kwa waathirika. Asante JF, be the forst to know. Sent using Jamii Forums mobile app
De jonjo Member Joined Feb 25, 2019 Posts 42 Reaction score 39 Feb 27, 2019 #7 Habari haijakamilika hii.
CROSSFIRE JF-Expert Member Joined Mar 4, 2018 Posts 506 Reaction score 1,478 Feb 27, 2019 #8 Daah! Mungu Awasaidie Radio Mbao Zinadai Wamenasa watu 7.
NAMKONG'O JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 519 Reaction score 133 Feb 27, 2019 #9 Tuombe vyombo vya uokozi viwahi tukio haraka kunusuru wahanga.
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,885 Feb 27, 2019 #10 Pole yao.. daah)
logframe JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,242 Reaction score 5,555 Feb 27, 2019 #11 Vyombo vya uokozi visisubiri giza liishe. Waende huenda wakaokoa wenzetu. Sent using Jamii Forums mobile app
Vyombo vya uokozi visisubiri giza liishe. Waende huenda wakaokoa wenzetu. Sent using Jamii Forums mobile app
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,144 Feb 27, 2019 #12 Wakati wa mvua wachimbaji wadogo huwa kama wanachimbiwa kaburi. Sent using Jamii Forums mobile app
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 12,291 Reaction score 17,815 Feb 28, 2019 #13 Ndiyo maisha yetu hayo wanaapolo Sent using Jamii Forums mobile app